0 votes
7.5k views
in Isimu Jamii by
Maenezi ya Kiswahili Afrika mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano

1 Answer

0 votes
by
  1. Uhaba mkubwa wa wataalamu wa Kiswahili
  2. Athari kutoka kwa lugha ya kwanza.
  3. Watu kuchangamka lugha nyinginezo ka vile kiingereza, kijerumani.
  4. Imani potovu – lugha ya Kiswahili ni duni
  5. Uhaba wa walimu wa Kiswahili.
  6. Uhaba wa vitabu vya Kiswahili.
  7. Kutokuwepo kwa sera ya lugha kutoka kwa baadhi ya serikali za mataifa ya Afrika mashariki.
  8. Uhaba wa pesa za kutafikia
  9. Nchi za Afrika za kukuza na kuendeleza Kiswahili
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...