Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
“Sitaki kazi za uchafu hapa Sagamoyo."
0
votes
1.6k
views
asked
Jul 6, 2021
in
Kigogo
by
anony mous
Sitaki kazi za uchafu hapa Sagamoyo."
Eleza muktadha wa dondoo hili.
Kwa hoja kumi na sita, onyesha jinsi kazi za uchafu zinavyoendelezwa kwenye jimbo la Sagamoyo."
kigogo
muktadha wa dondoo
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 6, 2021
by
anony mous
Msemaji ni Majoka .
Anamwambia Ashua
Walikuwa ofisini mwa Majoka
Ashua alikuwa akiomba soko lifunguliwe ili wafanye biashara na wajikimu. Majoka alisema takataka za soko hilo zinaharibu sifa nzuri za jimbo lao.
Kutengeneza sumu ya nyoka
Uuzaji wa pombe haramu
Kushambuliwa na kujeruhiwa na vikosi vya usalama
Kuuwawa kwa wapinzani kwa mfano Jabali
Kunyakuliwa kwa ardhi ya soko- Majoka alitaka kujenga hoteli kwenye uwanja wa soko . Ulanguzi wa dawa za kulevya hali inayosababisha wanafunzi kufeli masomoni
Kandarasi muhimu kutolewa kwa njia ya mapendeleo- Ngurumo na Asiya kupewa kandarasi ya kuoka keki za kuliwa siku ya sherehe ya uhuru .
Ushauri potovu- Kenga kupanga jinsi ya kumwadhibu Sudi kwa kukataa kuchonga kinyago cha Ngao. Aidha alishiriki kupanga mashambulizi ya Tunu.
Raia kutishiwa kufurushwa jimboni- Hashima anaeleza kuhusu vijikaratasi vilivyosambazwa vikiwataka wahame Sagamoyo.
Bei ya bidhaa kuongezwa maradufu kwenye kioski cha kampuni
Kufungwa kwa soko mahali ambapo wachuuzi na wachongaji vinyago hupata riziki
Uzinifu- Majoka kumtamani sana Ashua kimapenzi ilhali ana mke. Ngurumo anahusiana kimapenzi na Asiya ambaye ni mkewe Boza.
Kudhulumiwa kwa wafanyabiashara- wanasema wanatozwa kodi na kitu juu yake.
Matumizi ya hila- Majoka kupanga kuwaongezea walimu na wauguzi pesa huku akipandisha kodi. Kukandamizwa kwa vyombo vya habari, kwa mfano runinga ya Mzalendo kutishiwa kufungwa baada ya kupeperusha taarifa za maandamano.
Kumfungia Ashua kizuizini bila hatia.
Kutishia kumfuta kazi Kingi bila kujua kazi yake imelindwa kikatiba.
Majoka kutoa kibali cha kukatwa kwa miti hali inayosababisha ukame na mazao kupungua.
Ubadhirifu wa mali ya umma- Majoka ana magari mengi- mkewe anafika pale kwake ofisini kisha dereva anaagizwa kumpeleka nyumbani kwa gari jingine.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Sagamoyo kuna uchafu. Thibitisha kwa kurejelea tamthilia ya kigogo
asked
Jul 28, 2021
in
Kigogo
by
Peterouma
kigogo
0
votes
1
answer
“…kulinda uhai, kulinda haki, kulinda uhuru…” Weka dondoo hili katika muktadha wake
asked
Aug 16, 2021
in
Kigogo
by
anonymous
kigogo
muktadha wa dondoo
0
votes
0
answers
... Hivi vishahada vyao wanavyovipata siku hizi vinawavimbisha kichwa! Mtu anaitwa daktari na hata kazi ya maana hana... 1.weka dondoo hii katika mkutadha wake 2. Fafanua mbinu mbili za sanaa alizozitumia mwandishi 3. Ukirejelea tamthilia ya Kigogo, dhihirisha kuwa mtu anaitwa daktari na hata kazi ya maana hana.
asked
Apr 16, 2022
in
Kigogo
by
Kahantara
kigogo
0
votes
0
answers
Utawala wa Majoka katika jimbo la sagamoyo umejaa sumu ya nyoka".Jadili usemi huu
asked
Apr 16, 2022
in
Kigogo
by
Kahantara
kigogo
0
votes
1
answer
tuacheni kufumbati maji Kama jiwe.sagamoyo inahitaji mabadiliko damu nyepesi ili kuufungua ukurasa mpya
asked
Feb 10, 2022
in
Kigogo
by
mwaim
kigogo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...