Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Zitaje changamoto zozote tano za miviga katika jamii yoyote ile.
0
votes
7.7k
views
asked
Jul 6, 2021
in
Fasihi
by
anony mous
Zitaje changamoto zozote tano za miviga katika jamii yoyote ile.
fasihi
miviga
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 6, 2021
by
anony mous
Vifo- upashaji tohara kwa vijana unaweza kusababisha uvujaji wa damu nyingi na mwishowe vifo.
Kusababisha magonjwa hatari ya kuambukiza mfano kupitia tohara
Husababisha hofu miongoni mwa sehemu ya jamii kwa mfano katika sherehe za kufukuza mapepo.
Baadhi huweza kukiuka haki za binadamu mfano tohara kwa wasichana.
Baadhi huharibu mazingira- sherehe zinazohusu utoaji wa kelele mfano nyimbo mbalimbali zikiimbiwa mahali pasipofaa, zinaweza kusababisha kelele ambayo itachafua mazingira hayo.
Kukinzana na malengo ya kitaifa na kidini mfano tohara kwa wasichana ni marufuku nchini. Shughuli ya maapizo huenda kinyume na mafundisho ya kidini. nk.
Hugharimu pesa na raslimali nyingi mfano harusi
Baadhi huhusisha imani za kishirikina ambazo zinaweza kuleta uhasama katika jamii. Mfano maapizo.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
3
answers
eleza sifa tano za mtambaji bora
asked
Mar 15, 2022
in
Fasihi
by
Judevasang
fasihi
0
votes
1
answer
Fafanua sifa tano za hekaya.
asked
Jul 2, 2021
in
Fasihi
by
anonymous
fasihi
fasihi simulizi
0
votes
2
answers
umuhimu wa fasihi katika jamii
asked
Jan 2, 2024
in
Fasihi
by
gicXXX
fasihi
0
votes
2
answers
Umepewa jukumu la kutafiti kuhusu michezo ya watoto katika jamii yako.
asked
Aug 16, 2021
in
Fasihi
by
anonymous
fasihi
fasihi simulizi
0
votes
0
answers
Eleza maudhui ya uongozi mbaya jinsi yanavyo jitokeza katika riwaya ya nguu za jadi
asked
Mar 13, 2024
in
Fasihi
by
0780249XXX
fasihi
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...