0 votes
11.6k views
in Fasihi by
Fafanua sifa tano za hekaya.

1 Answer

0 votes
by
  1.  Huhusu mhusika mmoja anayetumia ujanja kujinufaisha.
  2. Wahusika ni wanyama na/au binadamu
  3. Kwa kawaida mhusika mkuu huwa mdanganyifu
  4. Huwa fupi
  5. Hazihusiani na tukio lolote la kihistoria na wala wahusika wake si watu walioishi
  6. Visa vingi tofauti humhusu mhusika mkuu
  7. Sana sana mhusika huyo huwa ni sungura
  8. Mnyama huyo huepuka kiujanja hali fulani ambayo inamshinda labda kwa kuwa inahitaji nguvu
  9. Ujanja huo huficha ujinga wa wanyama wengine wakubwa
  10. Huonyesha nguvu si hoja bora akili
  11. Wahusika wakuu wajanja huibuka washindi

Related questions

0 votes
3 answers
asked Mar 16, 2022 in Fasihi by Judevasang
0 votes
1 answer
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...