0 votes
5.3k views
in Fasihi by
Jadili mifano mitano ya ngomezi za kisasa.

1 Answer

0 votes
by
  1. Kengele katika lango/ mlango kuashiria kuna mtu anataka kufunguliwa.
  2. Mlio wa saa; kuamsha mtu au kukumbusha jambo
  3. Mlio wa simu; simu inapigwa, ujumbe mfupi au kumbusho la shughuli fulani.
  4. Mlio wa ambulensi; kutaka kupishwa kwa sababu kuna mgonjwa ndani au mgonjwa anaendewa mahali.
  5. Kengele; km shuleni; kuashiria mwisho au mwanzo wa kipindi a shughuli fulani.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...