Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Onyesha miundo miwili ya nomino katika ngeli ya U – ZI
0
votes
7.4k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
Onyesha miundo miwili ya nomino katika ngeli ya U – ZI
ngeli
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
Baadhi hupoteza u katika wingi
Ukucha – kucha
Baadhi huchukua ny katika wingi
Uta-nyuta
Baadhi huchukua mb katika wingi
Ubao - mbao
Baadhi huchukua (nd)katika wingi
Ulimi – ndimi
Baadhi huchukua n katika wingi
Ujia-njia.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Fafanua miundo yoyote miwili ya nomino katika ngeli ya U-ZI.
asked
Jul 5, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anony mous
matumizi ya lugha
ngeli
nomino
0
votes
1
answer
Nomino zifuatazo zimo katika ngeli gani?
asked
Jul 23, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
ngeli
0
votes
3
answers
Nomino ‘uki’ iko kwenye ngeli gani.
asked
Aug 27, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anony mous
matumizi ya lugha
ngeli
0
votes
2
answers
Yaweke maneno yafuatayo katika ngeli mwafaka:
asked
Aug 25, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
sarufi na matumizi ya lugha
ngeli
0
votes
1
answer
Eleza maana ya ngeli.
asked
Jul 23, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anony mous
matumizi ya lugha
ngeli
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...