0 votes
7.4k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Onyesha miundo miwili ya nomino katika ngeli ya U – ZI

1 Answer

0 votes
by
  1. Baadhi hupoteza u katika wingi
    Ukucha – kucha
  2. Baadhi huchukua ny katika wingi
    Uta-nyuta
  3. Baadhi huchukua mb katika wingi
    Ubao - mbao
  4. Baadhi huchukua (nd)katika wingi
    Ulimi – ndimi
  5. Baadhi huchukua n katika wingi
    Ujia-njia.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...