0 votes
921 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Andika sentensi ifuatayo upya ukianzia kwa yambwa tendwa 

  1. Wafugaji waliwakatia ng’ombe wote majani ya mti huo.

1 Answer

0 votes
by
Majani ya mti huo yamekatiwa ng’ombe wote na wafungaji.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...