0 votes
926 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa.
Watoto walinunuliwa viatu maridadi.

1 Answer

0 votes
by
Matoto yalinunuliwa majiatu maridadi.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...