0 votes
2.1k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Andika sentensi hii katika ukubwa

  1. Huyo nyoka alikatwa mkia na mvulana yule

1 Answer

0 votes
by
Hilo joka lilikatwa jikia/kia na vulana /jivulana lile
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...