0 votes
920 views
in Isimu Jamii by

…………….watu wakaunti ya Cheneo wamesahaulika kabisa Ningependa kuelezwa kinaga ubaga kama hawa ni wakenya au la. Order! Order! Mheshimiwa Kega.

  1. Hii ni sajili gani? 
  2. Eleza sifa nane za sajili iliyotajwa. 

1 Answer

0 votes
by
  1. Sajili ya bungeni
  2.         
    •  sentensi huwa ndefundefu
    • urudiaji wa baadhi ya maneno
    • Kuna kukatizana kauli
    • Mtindo maalumu wa kuanzisha,kuendeleza na kutamatisha mazungumzo.
    • Mtumizi ya ishara na miundoko Fulani
    • Msamiati maalamu
    • Kurejelea sheria za nchi
    • Lugha ya heshima
    • Kuchanganya ndimi 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...