0 votes
2.8k views
in Isimu Jamii by

Eleza maana ya 

  1.  Sajili
  2. Lahaja 
  3. Isimu 
  4. Lafudhi

2 Answers

0 votes
by
  1. Sajili ni matumizi ya lugha katika muktadha ya jamii.
  2. Lahaja ni namna mbalimbali za kuzungumza lugha moja kuu
  3. Isimu ni sayansi ya lugha.
  4. Lafudhi ni tofauti kimatamshi baina ya wazungumzaji wa lugha moja.
0 votes
by
1. sajili - ni mukhtadha/rejista mbalimbali au mtindo maalum yalugha katika mazingira/halimbalimbali.
2. lahaja - ni vilugha ambavyo huzalishwa kutokalugha moja kuu.
3. isimu - ni uchunguzi walugha ya usayansi.
4. lafudhi - ni mpekee lamtu kuzungumza.

Related questions

0 votes
13 answers
asked Oct 6, 2021 in Isimu Jamii by Joshmungu
0 votes
1 answer
asked Dec 26, 2021 in Isimu Jamii by DomitilaMboya
0 votes
1 answer
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...