Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
“ Kwa kweli ni hali ngumu hii”
0
votes
1.2k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
“ Kwa kweli ni hali ngumu hii”
Weka dondoo katika muktadha wake.
Ni hali gani yamsemewa inayorejelewa kwenye dondoo.
chozi la heri
muktadha wa dondoo
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
Weka dondoo katika muktadha wake.
Mzungumzaji ni Ridhaa
Anayezungumziwa ni Kaizari
Ni katika kambi/mabanda- Kwenye Msitu wa Mamba
Ni baada ya Kaizari kumsimulia Ridhaa magumu aliyoyapitia kutoka kwake nyumbani hadi kujipata kweye hali nyingine ngumu katika kambi.
Ni hali gani yamsemewa inayorejelewa kwenye dondoo.
Mke wa Kaizari, Subira ananyakwa kofi kubwa
Anarejelewa kama kidume kijoga-kudharauliwa
Mke wake anakatwa kwa sime na kuzirai kwa uchungu
Bintize –Lime na Mwanaheri- wanafanyiwa unyama na mabarobaro
Jirani yake Tulia anamfukuza anapojaribu kuwapa mke wake na watoto huduma za kwanza
Wanawe wanazirai ubavuni mwake
Anaabiri gari bila kujua waendako na jamaa zake
Walitazama mabasi yakichomwa kwenye safari iliyokuwa ndefu
Gari linaisha petroli- wanajitoma msituni
Wanakula mate usiku wa kwanza kutokana na ugeni/ukosefu wa chakula
Kuna hali mbaya ya baridi na umande wa asubuhi
Wanakosa maji safi ya kunywa kwenye msitu
Kunywa maji ya Mto wa Mamba kunawasababishia homa ya tumbo.
Vijumba vichache havikutosha kuhimili idadi ya wakimbizi
Huduma za kijamii zinaadimika –ukosefu wa misala na misala ya kupeperushwa
Sandarusi za kutumiwa kama misala zilitafutwa mbali kwenye milima ya taka.
Roho za watoto zilibwakurwa na magarimoshi kwenye reli walipoenda haja kule
Kuna hali ya njaa na vilio vya watoto wenye njaa
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
0
answers
Jadili mambo yaliyofuatilia kutawazwa kwa Musumbi katika riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 19, 2021
in
Chozi la Heri
by
Hopekendi
chozi la heri
muktadha wa dondoo
0
votes
1
answer
"poa sana siste,we ni mnoma. siku moja nitakuhelp hata mimi" eleza muktadha wa kauli hii 2,tambua sifa nne za msemaji 3,kwa kurejea riwaya nzima fafanua mbinu ya uandishi iliyojitokeza
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
1
answer
“Vipi binadamu anavyoweza kuyazoa maji yaliyomwagika?"
asked
Jul 6, 2021
in
Chozi la Heri
by
anony mous
muktadha wa dondoo
chozi la heri
0
votes
1
answer
Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za Kiafrika. Tetea kauli hii ukilejelea Chozi la Heri
asked
Jul 23, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
chozi la heri
riwaya
0
votes
0
answers
"utakapoisoma barua hii sitakuwa hapa" weka dondoo hii katika muktadha wake 2,fafanua umuhimu wa msemaji katika kuijenga riwaya 3,uzalendo ni maudhui iliyojzogaa riwayani. thibitisha
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...