Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za Kiafrika. Tetea kauli hii ukilejelea Chozi la Heri
0
votes
1.7k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za Kiafrika. Tetea kauli hii ukilejelea Chozi la Heri
chozi la heri
riwaya
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
Subira alitengwa na familia ya mume wake kwa kuwa wa kabila tofauti na lao
Mwanaheri anatueleza kuwa mama yake alikuwa ametoka kwenye jamii ya mamwezi lakini babake alikuwa wa jamii tofauti. Kila mara subira aliitwa ‘muki’ au huyo wa kuja
Kijana mmoja alimwita Ridhaa mfuata mvua jambo lilimuumiza sana Ridhaa.
Mzee kendi alimtendea udhalimu Ridhaa na kuiteketeza aila yake licha ya wao kuwa majirani kwa miaka hamsini. Ridhaa alifanyiwa hivi kwa kuwa alikuwa ametoka kwenye kabila tofauti na mzee kendi.
Ndoa ya Selume ilisambaratika baada ya vita vya kutawazwa kwa kiongozi mpya.kuoa msichana wa kikwao.
Tulia alimsaidia kaizari kufunganya na kumsidikiza hadi njia panda. Alimkumbatia na kumwambia kuwa mwenyezi Mungu ndiye hupanga na nguvu na mamlaka pia hutoka kwake
Uongozi mpya umezua uhasama kati ya koo ambazo zimeishi kwa amani kwa karibu karne moja.
Subira aliweza kuvumilia kubaguliwa, kufitiniwa na kulaumiwa kwa asiyoyatenda, Mwishowe alihiari kujiondokea na kwenda mjini alikojinywea kinywaji kikali.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Jamii katika riwaya ya chozi la heri imebaidiwa (tenganishwa) na utabaka. Tetea kauli hii.
asked
Jul 20, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
1
answer
maovu yametamalaki katika jamii ya chozi la heri tetea kauli kwa kutilea hoja ishirini
asked
Apr 27, 2023
in
Chozi la Heri
by
0745237XXX
chozi la heri
0
votes
1
answer
Tathmini umuhimu wa mbinu zifuatazo katika kuijenga riwaya ya Chozi la Heri : Barua
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
chozi la heri
riwaya
0
votes
1
answer
Tathmini umuhimu wa mbinu zifuatazo katika kuijenga riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
riwaya
chozi la heri
0
votes
1
answer
Jadili kwa hoja nane suala la ukoloni mambo leo lilivyoshugulikiwa katika riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
riwaya
fasihi
chozi la heri
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...