0 votes
829 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Eleza tofauti ya kimatamshi baina ya sauti zifuatazo.

  1. (K)
  2. (G)

1 Answer

0 votes
by
  1. Sauti K-Kipasuo cha ka kaa laini – sauti sighuna 
  2. Sauti G-Kipasuo cha kaka laini – sauti ghuna
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...