0 votes
5.2k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Eleza tofauti kati ya sauti hizi 

  1. /ny/ na /gh/
  2. /l/ /r/

1 Answer

0 votes
by
  1. /ny/ na /gh/
    • /ny/ - ni nazali/vipua/ving’ong’o
      hutamkwa kwenye kaakaa gumu
    • /gh/ - Vikwamizo
      hutamkwa kwenye kaakaa laini
  2. /l/ /r/
    • /l/ - ni kitambaza
    • /r/ - ni kimadende
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...