0 votes
6.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tofautisha kati ya sauti ghuna na sauti sighuna .

2 Answers

0 votes
by
Sauti ghuna ni sauti ambazo husababisha mtetemeko/ mtikisiko/mrindimo wa nyusi – sauti wakati wa utamkaji ilhali sauti sighuna ni sauti ambazo hazisababishi mtetemeko/ mrindimo wa nyusi sauti wakati wa utamkaji
0 votes
by
Sauti ghuna ni sauti ambazo husababisha mtetemeko wa nyuzi za sauti wakati wa utakamkaji
Sauti si ghuna ni sauti ambazo hazisababisho mtetemeko wa nyuzi za sauti wakati wa utamkaji

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...