0 votes
2.5k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza maana nne zinazojitokeza katika sentensi ifuatayo.
Tande alimpigia milimo mpira

1 Answer

0 votes
by
  1. Tande alipiga mpira kuelekea kwake milimo.
  2. Tande aliupiga mpira kwa niaba ya milimo
  3. Tande alimpiga milimo kwa sababu ya mpira.
  4. Tande alimpiga milimo kwa mpira kama adhabu. 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...