0 votes
1.6k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii 

  1. Walichukua pesa waliporudi

1 Answer

0 votes
by
  1. Walienda halafu wakarudi baadae kuchukua pesa
  2. Waliochukua pesa walichukua baada ya watu watu waliokuwa wanangoja kurudi
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...