0 votes
944 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Bainisha maana mbalimbali za sentensi ifuatayo:
Mwalimu amempigia mwanafunzi simu

1 Answer

0 votes
by
  1. Ametumia simu kama chombo kumpiga mwanafunzi.
  2. Amepiga simu kwa niaba ya mwanafunzi.
  3. Amempiga kwa sababu ya simu
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...