0 votes
2.1k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Sahihisha sentensi ifuatayo kwa njia tatu mwafaka.
Hapa Kwetu Mna Siafu Wengi.

1 Answer

0 votes
by
  1. Hapa petu pana siafu wengi 
  2. Huku kwetu kuna siafu wengi
  3. Humu kwetu mna siafu wengi 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...