0 votes
1.9k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tumia kiwakifishi kifuatacho kubainisha matumizi yake katika sentensi ili kutoa maana mbili tofauti.
Ritifaa

1 Answer

0 votes
by
  1. Hutumiwa kuonyesha tarakimu imeachwa. Mf 19’
  2. kuandika sauti za ving’ong’o mf ng’ombe, ng’ara
  3. kupunguza mizani katika ushairi mf n’shafika
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...