0 votes
965 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Kanusha sentensi zifuatazo kwa umoja

  1. Nywele zenu hukatika mnapochana 
  2. Nyinyi ndio mnaopenda kuchezea mbeleko za mtoto

1 Answer

0 votes
by
  1. Nywele zenu hukatika mnapochana
    • Unywele wako haukatiki unapochana
       
  2. Nyinyi ndio mnaopenda kuchezea mbeleko za mtoto 
    • Wewe siye unayependa kuchezea ubaleko wa mtoto
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...