0 votes
620 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tunga sentensi ukitumia viungo vifuatavyo ili kudhihirisha maana ya dhana katika mabano.

  1. Kwa(umilikaji)
  2. Ku(Nafsi)

1 Answer

0 votes
by
  1. Kwa(umilikaji)
    Aliaenda kwake jana jioni
  2. Ku(Nafsi)
    Anakutaka (nafsi ya pili)
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...