Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Tunga sentensi moja kudhihirisha matumizi mawili ya kiambishi i.
0
votes
2.9k
views
asked
Jul 1, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
Tunga sentensi moja kudhihirisha matumizi mawili ya kiambishi i.
matumizi ya lugha
viambishi
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 1, 2021
by
anonymous
Sukari iliyonunuliwa haipendezi.
Kiambishi i ni kipatanishi ngeli ya I-I. Damu imemwagika.
Kiambishi i hutumiwa kukanusha wakati uliopo: inapendeza – haipendezi.
Kiambishi I kukanusha hali ya mazoea: Wao huimba – wao hawaimbi.
Kiambishi I ni kipatanishi katika ngeli ya I-ZI umoja: Barabara imeundwa.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya kiambishi : o
asked
Jul 23, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
matumizi ya lugha
viambishi
0
votes
1
answer
Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’
asked
Aug 3, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anony mous
viambishi
0
votes
1
answer
Eleza matumizi mawili ya “ ki” kisha utunge sentensi moja moja kuonyesha matumizi hayo
asked
Aug 16, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
matumizi ya lugha
0
votes
1
answer
Tunga sentensi ya neno moja iliyo na vipashio viifuatavyo vya kisarufi: kiima, kiambishi cha wakati ujao, shamirisho kitondo, mzizi, kauli tendea na kiishio.
asked
Jul 1, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
matumizi ya lugha
vipashio
0
votes
2
answers
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya nukta pacha.
asked
Jul 23, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
matumizi ya lugha
uakifishaji
alama za uakifishaji
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...