0 votes
4.6k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya kiambishi : o

1 Answer

0 votes
by
  1. Kirejeshi cha ngeli ya U-ZI umoja ufa uliozibwa
  2. Kuunda nomino kutokana na kitenzi – kiomo
  3. Kuonyesha kinyume cha vitenzi –chomoa
  4. Ufupisho wa majina ya ukoo-mwanao
  5. viashiria vya mbali kidogo-huo
  6. Kiambishi tamati katika kirejeshi cha ambao
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...