0 votes
756 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya kiimbo 

9 Answers

0 votes
by
  • Kuonyesha kauli.  Mtoto anaenda sokoni.
  • Kuonyesha swali. Mtoto anaenda sokoni?
  • Kuonyesha rai. Tafadhali niazime kitabu.
  • Kuonyesha mshangao. Mtoto ameumwa na nyoka! 
0 votes
by
1.Kwanini unaimba? -swali
2.Lo!ameanguka - mshangao
0 votes
by

Ameenda?

Ameenda.

0 votes
by
Mama amewasili.(sentensi sahili)
Mama amewasili?(swali)
Mama amewasili!(mshangao)
0 votes
by
1. Mama ameenda sokoni.
2.Enda shuleni sasa hivi.
0 votes
by
Ameenda!
0 votes
by
Kiimbo hata
0 votes
by
Ala kumbe we ni mwizi(mshangao)  


 Nipe kikombe ! Mama alisema(Amri)
   
0 votes
by
Gari linaenda bara'bara.    Gari liliangukuka kando ya barabara
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...