0 votes
674 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya kiimbo 

1 Answer

0 votes
by
Kuonyesha kauli.  Mtoto anaenda sokoni.
Kuonyesha swali. Mtoto anaenda sokoni?
Kuonyesha rai. Tafadhali niazime kitabu.
Kuonyesha mshangao. Mtoto ameumwa na nyoka! 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...