0 votes
2.6k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza matumizi mawili ya “ ki” kisha utunge sentensi moja moja kuonyesha matumizi hayo

1 Answer

0 votes
by
  1. Ki ya masharti K.M. ukicheza K.M.kinyama
  2. Ki ya namna /jinsi /mfano K.M. kinyama
  3. Ki ya kiambishi cha ngeli K.M.KI-Viumoja kimepotea
  4. Ki ya kishirikishi kipungufu K.M kikulacho ki
  5. Ki ya kuonyesha wakati K,M .Niliwakuta wakiimba odogo/kulisha K.M kijili
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...