0 votes
891 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Bainisha matumizi ya KI katika sentensi ifautayo.
Jua limekuwa likiwaka tangu Januari

2 Answers

0 votes
by
Ki- mfululizo wa vitendo/utokeaji wa vitendo vingi kwa wakati mmoja.
0 votes
by
Ki ya wakati 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...