0 votes
7.7k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’

1 Answer

0 votes
by
  1. Kudhihirisha vitenzi vya silabi moja – kula, kuja n.k
  2. Mwanzo wa vitenzi 
  3. Wakati wa ukanusho k.m haku, hatuku……
  4. Kuonyesha mahali k.m kuliko na miti
  5. Kiwakilishi cha nafsi k.m anakuita
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...