0 votes
1.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Sauti /e/ na /u/ hutamkwa vipi?

1 Answer

0 votes
by
  1. /e/ - Hutamikiwa mbele ya ulimi midomoikiwa imetandazwa.
  2. /u/ - Hutamkiwa nyuma ya ulimi mdomo ukiwa umeviringwa. 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...