0 votes
2.2k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza matumizi matatu ya italiki kisha tolea mifano kwa kila aina.

1 Answer

0 votes
by
  1. Hutoa maelekezo na maagizo katika mazungumzo au mchezo wa kuigiza.
  2. Kutenga neno, fungu la maneno au sentensi iliyo na maana maalum katika makali.
    Mfano: Uvumbizi wa utendawazi katika sekta ya sayansi.
  3. Kuandika maneno ya lugha nwingine .
    Mfano: Kula Obusuma hotelini.
  4. Kusisitiza neno kifungu cha neno au jambo Fulani.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...