Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
“Aliyeumwa na nyoka akiona ung’ong’o hushtuka .” Weka dondoo hil katika muktadha wake.
0
votes
2.0k
views
asked
Aug 17, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anony mous
“Aliyeumwa na nyoka akiona ung’ong’o hushtuka .”
Weka dondoo hil katika muktadha wake.
Eleza namna mzungumziwa alivyoumwa na nyoka.
Eleza vile mzungumziwa anaendeleza maudhui ya ushauri na ukosefu wa utu.
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Aug 17, 2021
by
anony mous
Maelezo ya mwandishi /Msimulizi kuhusu Otii pale nyumbani Kitandani Otii alirejelea maisha yake ya awali, aliumia mguu na kupoteza umaarufu wake.
Otii alikuwa amerejeshwa pale nyumbani mwake kwa amri ya daktari angojee kifo.
Otii alipovunjika mguu na kutumia mikongojo miezi sita, alikataa kurejelea kandanda uwanjani.
Otii alikuwa uwanjani akichezea timu ya bandari FC.
Kutokana na uhodari wake alikuwa mwiba kwenye timu kinzani ya Yanga kwene kinyang’anyirocha kuwania kombe la klabu bingwa Afrika mashariki na kati.
Alikuwa amewala chenga mabeki wote wa Yanga na kuelekea kufumua kiki kali kwenye eneo hatari , ndiop jibabajoja la miraba minne lilipomkwaa akaanguka
Alianguka vibaya kama gunia la chumvi. Picha ya eksirei ilionyesha kuwa amevunjika mfupa wa muundi na nguyoni.
Baada ya kuumia aliterekezwa kabisa na maafisa wa Bandari FC
Hata maafisa wa serikalini hawakumjali hata kidogo
Alitupwa kama masimbi na hakuna aliyemkumbuka
Maumizu na mateso hayo ndiyo kuumwa na nyoka.
Ukosefu wa utu
Mwandishi anonyesha kuwa utu umepotea na haupo tena katika jamii.
Otii anatoa mchango mkubwa kwa kuichezea timu ya Bandari FC na hatatimu ya taifa ya Harambee lakini anapovunjika mguu hakuna anaejali kipaji chake.
Hakuan fidia anayopewa hata baada ya kuacha mchezo huo kwa kuumizwa.\
Chama cha waqu wa nyumbani wananza kujadili mazishi ya mtu akiwa bado hai.
Wanachama wa chama cha nyumbani wanakosa utu na kuanza kujadili kusafirisha maiti ya Otii wakati Otii bado yu hai an anawasikiliza.
Rehema anakosa utu kwa kumwambukiza Otii Maradhi.
Umuhimu wa kuzingatia ushauri
Otii anaitwa na rafiki yake na kushauriwa dhidi ya kujihushisha na msichana mrembo Rehema Wanjiru.
Otii anapuuza ushauri huo na kusema kuwa yuko radhi kuwa nzi na kufia kidondani.
Matokeo ni kuwa rehema anamuambukiza ugonjwa wenye dalili za Ukimwi.Wote wawili wanafariki mtawalia.
Otii anamshauri mwenyekiti wa chama nyumbani azikwe Mombasa.Wao walikataa ushauri huo.
Baadaye wanapata ajali mbaya.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
licha ya .... ninayopewa na wazazi wangu naona bado kuna pengo kubwa maishani mwangu .a)weka dondoo katika muktadha wake
asked
Aug 2, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
afelo
tumbo lisiloshiba
0
votes
1
answer
“Dada Umu, Di, ni mimi, Ni ndugu yenu. Ni hai . Auntie Sauna alishikwa na polisi.” Weka dondoo hili katika muktadha wake.
asked
Aug 17, 2021
in
Chozi la Heri
by
anony mous
chozi la heri
riwaya
0
votes
0
answers
weka dondoo hii katika muktadha wake "wote wake na waume wapewe nafasi sawa"
asked
Jul 20, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
2
answers
“…lakini kula kunatumaliza vipi?” Eleza muktadha wa dondoo hili.
asked
Aug 16, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anonymous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
shibe inatumaliza
0
votes
1
answer
"Alikuwa ameumwa na nyoka ,bafe hasa na bila shaka mwenye kuumwa na nyoka akiona ung'ong'o hustuka."
asked
Feb 15, 2022
in
Chozi la Heri
by
Oduori
chozi la heri
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...