0 votes
2.8k views
in Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine by


“…lakini kula kunatumaliza vipi?”

  1. Eleza muktadha wa dondoo hili. 
  2. Eleza jinsi kula kunavyotumaliza kwa mujibu wa hadithi. 

2 Answers

0 votes
by
  1. Eleza muktadha wa dondoo hili. 
    • Haya ni maneno ya Sasa
    • Akimwambia Mbura
    • Katika sherehe baada ya kula
    • Wanazungumzia ile hali ya matumbo yao kushiba ilhali wengine wanadhikika tu. 
  2. Eleza jinsi kula kunavyotumaliza kwa mujibu wa hadithi. 
    • Kula vibaya na vizuri-tunavyojua na tusivyovijua, hatujui vitokako na visikotoka
    • magonjwa-sukari, presha,saratani,obesity, madonda ya tumbo
    • vifo-kuuana kwa mabomu, risasi , kunyongana, kuuana kifikra, kimawazo, kunyang’anyana vinavyoonekana na visivyoonekana-haki, utu, heshima, uhuru
    • lawama
0 votes
by
Maneno haya yalisemwana mbura alikuwa alimwambia  sasa walikua kwa sherehe ya mzee mambo 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...