Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Ubadhirifu wa mali ya umma umetamalaki katika hadithi ya Shibe Itatumaliza. Jadili kwa kutoa mifano mwafaka.
0
votes
3.2k
views
asked
Aug 17, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anony mous
Ubadhirifu wa mali ya umma umetamalaki katika hadithi ya Shibe Itatumaliza. Jadili kwa kutoa mifano mwafaka.
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
shibe inatumaliza
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Aug 17, 2021
by
anony mous
Mzee Mambo analipwa msharahra mnono kama mkuu wa wizara zote ilhali kila wizara ina waziri wake.
Sherehe kubwa za viongozi wa serikali ziantumia mali ya umma. Hivyo basi kuchangia ubadhilifu wa mali katika jamii.
Viongozi huendeleza ubadhirifu kwa kutumia mali ya umma kwa manufaa yao wenyewe. Magari ya serikari ykanatumika katika sherehe na kazi za nyumani kama vile kuleta maji katika sherehe.
Vyakula katika sherehe vinanunuliwakwa jpesa za umma. Pesa hizi zingetumika kuendeleza asasi za kijamii.
Ubadhirifu unadhihirishwa na DJ jpale anapokea mabilioni ya pesa kwa kuwatumbuiza wageni katika sherehe.
Ubadhirifu unadhihirishwa na viongozi wa serikali wanaowachukua watu wao wa karibu na kuonelea wamefaidika kutokana na rasilmali za wanajamii bila kuzitolea jasho.
Viongozi wa serikali kama vile Sasa na Mburawanaamua kujipakulia chakula kupita kiasi katika shereh za mzee mambo na jamii yake ubadhirifu wa mali ya umma unaonekaran ambapo mali ya umma inatumika kuwaajiri mawaziri wawili wenye majukumu sawa katika wizara moja kazini . Kazi hii ingefanyw ana waziri mmoja na mshahara wa waziri wa pili ungechangia katika kuinua sekta nyingine.
Upeperushaji wa matangazoa ya sherehe ya kiongozi binafsi katika vyombo vya haari kitaifa kwa siku nzima ni ubadhirifu wa mali ya umma. Pesa zilizotumika zinagechangia pakubwa katika kuinua uchumi wa taifa.
Uuzaji wa dawa zilizotolewa katika bohari la kitaifa katika duka la DJ ambayo ni biashara ya mtu binafsi ni ubadhirifu wa mali ya umma.
DJ kulipwa kutumbuiza watu katika sherehe ya Mzee Mambo na kulipwa mabilioni ya fedha ni ubadhirifu wa mali ya umma.
DJ kupewa kazi ya mipango na mipangilio katika sherehe ilhali kuna mawaziri wawili wanaolipwa mshahara kwa kazi hiyo ni ubadhirifu wa mali ya umma.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.
asked
Aug 16, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anonymous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
tumbo lisiloshiba
shibe inatumaliza
0
votes
1
answer
“Hiyo ni dharau ndugu yangu. Kwa nini kila siku tunakula sisi kwa niaba ya wengine ?”
asked
Jul 23, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anonymous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
hadithi fupi
shibe inatumaliza
fasihi andishi
0
votes
2
answers
“…lakini kula kunatumaliza vipi?” Eleza muktadha wa dondoo hili.
asked
Aug 16, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anonymous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
shibe inatumaliza
0
votes
1
answer
Kwa kurejelea hadithi ya Mapenzi ya Kifaurongo, Mame Bakari, Nizikeni Papa Hapa , Mtihani wa Maisha na Mkubwa, eleza changamoto zinazowakumba vijana. (al.20)
asked
Jul 2, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anonymous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
hadithi fupi
fasihi
0
votes
1
answer
Jadili matatizo yanayowakumba wakazi wa madongoporomoka katika Tumbo Lisiloshiba.
asked
Aug 17, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anony mous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
tumbo lisiloshiba
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...