Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Jadili matatizo yanayowakumba wakazi wa madongoporomoka katika Tumbo Lisiloshiba.
0
votes
1.0k
views
asked
Aug 17, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anony mous
Jadili matatizo yanayowakumba wakazi wa madongoporomoka katika Tumbo Lisiloshiba.
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
tumbo lisiloshiba
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Aug 17, 2021
by
anony mous
Wanamadongoporomoka wanadharauliwa na kutwaliwa ardhi yao.
Kuporwa aridhi yao imenyanyaswa na tabaka la mabwanyenye.
Wanawatoa katika ardhi yao na kuvunja vibanda vyao pasipo hata kuwalipa fidia.
Unyanyasaji huu unafanywa kwa wakazi hawa kwa kuwa hawana mtetezi.Haki imenunuliwa na wenye nacho.
Wanabomolewa vibanda vyao ilhali hawajaonyeshwa mahali mbadala pa kweda kuishi.
Ukosefu wa haki: Watu wa mandogoporomoka hawana haki wenye fedha wanawaona wakazi hawa kama takataka tu.
Ardhi ya madongoporomoka inaponyakuliwa na wenye nacho wanashindwa kupata mtetezi . wanasheria wamenunuliwa na matajiri ni vigumu kupata mwanasheria mwaminifu. Mzee Mago anashauriana na wenzake namna ya kurukaviunzi hivi vya kisheira.
Makazi duni : Wakazi wamadongoporomoka wanaishi katika makazi yenye mandhari chafu. Kulikuwa na mashonde ya vinyesi.Wanaishi katika vibandachwara vinavyozungukwa na uozona bubujiko la maji machafu. Hakuna mamlaka yoyote ya maji taka inayojishughulisha nao.
Wakazi madogoporomoka wananyimwa fidia inayolingana na thamakni ya makazi yao yaliyopokonywa na mambwanyenye.
Watu wa madongoporomoka wanaachwa njaa baada ya jitu kubwa kula chakula chote . Jitu linaingia katika mkahawa mshenzi na kuagiza kila chakula kilichopo kiletwe . jibu linabugia chote huku watu waliokuwa wamesubiri chakula hicho wakibakia njaa.
Wakazi wa madongoporomoka wanabaguliwa sehemu wanaoishi hakuna maendeleo yoyote kuna uchafu mwingi sana sehemu hii ilipaswa kusafishwa ili walau ifafanane na sehemu nyingine za mji ho.
Wanamadongoporomoka wamekosa usalama. Wanaishi kwa wasiwasi sana. Wanaamshwa kwa vishindo vya mabuldoza .
Askari wa baraza la mji wanaangusha vibanda vyao na kuwatimua waliokuwa bado wamelala. Jeshi la polisi linawapa ulizi askari kwa mirau na bunduki Mali zao duni zinaharibiwa.
Wanadongoporomoka wanalia na kulalamika kwa kukandamizwa na vyombo vya ulinzi. Wanakandamizwa kwa sababu ya umaskini wao . Matajiri wanawakandamiza.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.
asked
Aug 16, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anonymous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
tumbo lisiloshiba
shibe inatumaliza
0
votes
0
answers
fafanua changamoto zinazowakumba vijana katika tumbo lisiloshiba
asked
Jul 24, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
Lilianmande2002
tumbo lisiloshiba
0
votes
1
answer
Sifa za wahusika katika Mkubwa
asked
Dec 9, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
MarionNjoki
mkubwa
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
tumbo lisiloshiba
0
votes
1
answer
Ubadhirifu wa mali ya umma umetamalaki katika hadithi ya Shibe Itatumaliza. Jadili kwa kutoa mifano mwafaka.
asked
Aug 17, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anony mous
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
shibe inatumaliza
0
votes
0
answers
Maswali na majibu ya dondoo Tumbo lisiloshiba.
asked
Mar 12, 2022
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
CosyMary
tumbo lisiloshiba
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...