0 votes
875 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Onyesha vielezi katika sentensi zifuatazo. 

  1. Rais ametutembelea mara sita mwaka huu.
  2. Nendeni haraka shuleni.

1 Answer

0 votes
by
  1. Mara sita – idadi
  2. Haraka – namna hali
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...