0 votes
661 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Eleza hali zinazodhihirika katika sentensi zifuatazo.

  1. Gari lake limebingirika mtaroni.
  2. Cha mlevi huliwa na mgema.

1 Answer

0 votes
by
  1. - Me – hali timilifu
  2. - Hu – hali mazoea
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...