WIKI |
KIPINDI |
MADA KUU |
MADA NDOGO |
SHABAHA |
SHUGHULI ZA MAFUNZO |
NYENZO |
ASILIA |
MAONI |
MUHULA 1 |
|
1 |
Kufungua Marudio na Mazoezi |
2 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
Maamkizi |
Kufikia mwisho wa kipindi,mwanafunzi aweze:
- Kuamkiana kwa njia ifaayo.
- Kubainisha matumizi ya msamiati wa adabu na heshima.
|
- Kuuliza na kujibu maswali juu ya adabu njema.
- Kutoa maelezo ya jinsi ya kusalimu na kujibu salamu.
- Kuiga na kuigiza kuhusu salamu.
- kurudia matumizi ya msamiati wa maamkizi.
|
- Picha
- Michoro.
- Chati ya maamkizi.
- Kamusi.
|
- Kiswahili sanifu darasa la nane uk 2
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
- Kuigiza michezo na kutumia misamiati mpya kwa usahihi.
|
- Kurejelea somo lililopita
- Kuzungumza juu ya picha na michoro.
- Kusoma ufahamu.
- Kuongoza kupitia maswali ya ufahamu.
- Kujadili mada inafunza nini.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha/michoro
- Kamusi
- Wanafunzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu darasa la nane uk 2
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Shairi |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma shairi kwa ufasaha.
- Kuikiri shairi kwa mahadhi mazuri.
- Kufafanua ujumbe wa shairi.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka
|
- Kurejelea kipindi kilichopita.
- Kueleza maana ya maneno mpya.
- Kukariri shairi kwa mahadhi mazuri.
- Kushindana kwenye makundi.
- Kuzungumza na kujadili funzo.
|
- Kamusi
- Shairi kitabuni.
- Wanafunzi wenyewe
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 4.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viambishi vya ugeni. |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya viambishi.
- Kutaja aina ya viambishi na kubainisha viambishi vya ngeli.
- Kutumia viambishi vya ngeli katika sentensi.
|
- Kurejelea somo lililopita.
- Kueleza aina ya viambishi ngeli.
- Kutoa maelezo kuhusu viambishi vya ngeli.
- Kupitia zoezi kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Chati.
- jedwali la viambishi ngeli
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 5.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze kuandika insha kwa:
- Kujaza pengo kwa usahihi.
- Kutumia manano ya heshima ifaayo katika insha.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kushindana darasani juu ya msamiati juu ya adabu waliyojifunza.
- Kuuliza na kujibu maswali juu ya heshima na adabu njema.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kuandika insha.
- Kusahihisha insha.
|
Tajriba ya wanafunzi. |
- Kiswahili Sanifu Darasa la 8 Uk 7
|
|
3 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Msamiati wa akisami. |
Mwanafunzi aweze
- Kubainisha akisami pamoja na maelezo yake.
- Kuandika na kuhesabu akisami kwa usahihi.
|
- Kuuliza maswali juu ya akisami.
- Kuandika na kuonyesha akisami kwa michoro.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha zoezi lililofanywa.
|
- Michoro.
- Picha.
- Kadi za akisami.
- Kamusi
- Chati za akisami.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 8
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu kwa ufasaha.
- Kutumia msamiati mpya kwa usahihi.
- Kueleza funzo la hadithi hii.
|
- Kuuliza maswali juu ya kazi.
- Kuhimiza wanafunzi kutoa hadithi fupifupi
- Kueleza maana ya maneno mpya.
- Kusoma ufahamu.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 9.
- Mwongozo wa mwalimu uk 9
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Misemo na methali |
Mwanafunzi aweze
- kubainisha misemo na methali.
- Kufafanua maana ya misemo na methali.
- Kutumia misemo na methali katika sentensi kwa usahihi.
|
- Kuuliza maana za misemo.
- Kueleza umuhimu wa misemo na methali katika lugha.
- Kuandika misemo na methali ubaoni.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha zoezi.
|
- Vielelezo vya misemo na methali.
- Kamusi
- Kitabuni.
|
- Kiswahili sanifu uk 11 darasa la 8.
- Mwongozo wa mwalimu uk 9 – 10.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Vivumishi visivyo chukua viambishi ngeli. |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha vivumishi visivyochukua viambishi ngeli katika umoja na wingi.
- Kutumia vivumishi hivyo katika sentensi.
|
- Kutaja vivumishi.
- Kuonyesha vivumishi vinavyobadilika katika ngeli mbali mbali.
- Kuonyesha vivumishi visivyochukua viambishi ngeli.
- Kupitia somo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 12.
- Mwongozo wa mwalimu uk 11.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha akitumia maneneo aliyopewa kwa usahihi.
- Kubui kisa kulingana na kichwa alichopewa.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kueleza maana ya misemo waliyofunzwa.
- Kueleza hatua za kufuata.
- Kueleza kisa.
- Kupitaia funzo kwa sauti.
- Kuandika insha.
- Kusahihisha insha.
|
- Insha ya kubuni.
- Kielelezo cha insha.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 14.
- Mwongozo wa mwalimu uk 12 – 13
|
|
4 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Tarakimu (10,000,000 – 100,000,000) |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kuzungumza tarakimu za idadi(10,000,000 – 100,000,000)
- Kuhesabu na kuandika tarakimu.
.
|
- Kusoma tarakimu chini ya 10,000,000
- Kuandika tarakimu ubaoni.
- Kufundisha tarakimu
- Kutamka tarakimu kwa usahihi.
- Kuafanya zoezi.
|
- Kadi za tarakimu.
- Ramani ya ulimwengu.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 20.
- Mwongozo uk 14 – 15
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu.
- Kutaja majina ya sayari.
- Kutumia msamiati wa sayari kwa usahihi
|
- Kuuliza maswali juu ya anga.
- Kuona picha na kueleza wanachokiona.
- Kusoma ufahamu na kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 21.
- Mwongozo wa mwalimu uk 16 - 17
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Vitate |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya neon vitate.
- Kutumia vitate katika sentensi.
- Kueleza maana mbalimbali za vitate.
|
- Kuandika somo la alfabeti na silabi.
- Kuorodhesha vitate ubaoni.
- Kutoa maana ya vitate katika kamusi.
- Kutunga sentensi kutumia vitate.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu uk 23.Darasa la 8.
- Mwongozo wa mwalomu uk 17 -18.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Vihihishi |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vihihishi.
- Kubainisha mifano ya vihihishi.
- Kutumia vihihishi katika sentensi kwa usahihi.
|
- Kutaja na kueleza vitate.
- Kueleza vihihishi na kutoa mifano na matumizi yake.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kutumia vihihishi katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu uk 23.
- Mwongozo wa mwalimu uk 19.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha ya kujaza mapengo kwa maneno aliyopewa kwa usahihi.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kutoa hadithi fupi.
- Kuandika insha.
- Kusahihisha insha
- Kutoa hatua zilizoajika.
|
- Wanafunzi
- Vielelezo vya insha.
|
- Kiswahili Sanifu darsa la 8 uk 25
- Mwongozo wa mwalimu uk 20
|
|
5 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Dira |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha msamiati wa dira.
- Kuchora dira yenye pembe 16
- Kutumia msamiati wa dira kwa usahihi.
|
- Kueleza uchi zilizotajwa katika funzo la tarakimu.
- Kutaja pembe za dunia.
- Kuchora dira la somo hili.
- Kusoma yaliyokitabuni kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha
- Michoro
- Chati ya dira
|
- Kiswahili sanifu uk 26
- Mwongozo wa mwalimu uk 21
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma methali na maana zake kwa ufasaha.
- Kubainisha umuhimu wa methali.
- Kutumia methali katika sentensi kwa usahihi
|
- Kukamilisha methali za funzo lililopita.
- Kueleza umuhimu wa methali.
- Kuandika methali moja kwa moja ubaoni.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 28
- Mwongozo wa mwalimu uk 23 – 24
|
|
|
4 |
SARUFI |
Vihisishi |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha aina mbalimbalimya vihisishi na mifano yake.
- Kutoa na kutumia mifano sahihi ya aina ya vihisishi katika sentensi kwa usahihi
|
- Kutaja na kueleza aina ya vihisishi.
- Kuthoa mifano kwenye sentensi.
- Kueleza matumizi yake.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Fanya zoezi
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 29
- Mwongozo wa mwalimu uk 24 – 25.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Barua ya kirafiki. |
Mwanafunzi aweze :
- Kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa usahihi akitumia maneno aliyopewa.
- Kuandika barua ya kirafiki kwa usahihi.
|
- Kueleza maana ya baadhi ya misemo.
- Kueleza maana ya misemo.
- Kuongeza ujuzi wa kuandika barua ya kirafiki.
- Kuandika insha.Kusahihisha insha.
|
- Vielelezo vya barua ya kirafiki.
- Wanafunzi.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 30.
- Mwongozo wa mwalimu uk wa 24 – 25.
|
|
6 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mali ya asili |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana yana ya mali ya asili.
- Kuorodhesha maliasili zinazopatikana nchini.
- Kufafanua faida za maliasili na wajibu wake.
|
- Kutaja mapambo ya mwili.
- Kuuliza na kujibu maswali.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kutoa maelezo juu ya maliasili.
- Kushindana juu ya msamiati ya maliasili.
|
- Ramani ya Kenya
- Picha
- Michoro
- kamusi
|
- Kiswahili sanifu uk 38 darasa la 8.
- Mwongozo wa mwalimu uk 27 - 28
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma kwa ufasaha.
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kuzingatia mafunzo katika somo.
|
- Kuzungumza juu ya picha/mchoro
- Kueleza maana ya maneno mpya.
- Kusoma kimya kimya
- Kusoma kwa sauti
- Kupitia maswali kwa sauti
- Kufanya mazoezi.
|
- Picha/michoro
- Vifaa halisi
- Ramani ya Kenya.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 39
- Mwongozo wa mwalimu uk 28 – 29.
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma methali.
- Kutoa methali zinazopangana kimaana.
- Kutumia methali kwa usahihi.
kwa sauti.
- Kufanya zoezi na kusahihisha.
|
- Kueleza maana ya methali.
- Kueleza umuhimu wa methali katika lugha.
- Kupitia funzo
|
- Chati ya methali.
- Kamusi
- Funzo Kitabuni.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 40.
- Mwongozo wa mwalimu uk 29 - 30
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viunganishi |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana ya viunganishi.
- Kubainisha mifano ya viunganishi vya sababu.
- Kutumia viunganishi vya sababu katika sentensi.
|
- Kutaja aina za madini zinazopatikana.
- Kueleza maana ya viunganishi vya sababu na kutoa mifano.
- Kutoa mifano zaidi katika sentensi.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kusaidia na kusahihisha
|
- Vielelezo vya viunganishi vya sababu
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 41
- Mwongozo wa mwalimu uk 30
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuakifisha insha aliyopewa kwa usahihi.
- Kuandika insha kulingana na kichwa alichopewa.
- Kuandia kwa hati zinazosomeka.
|
- Kutoa hadithi fupi.
- Kutaja baadhi ya alama za kuakifisha na kueleza matumizi yake.
- Kusoma insha na kuakifisha kimyakimya.
- Kuwapa insha.
- Kusahihisha insha.
|
- Vielelezo vya insha ya michezo
|
- Kiswahili Sanifu darasa la 8 uk 42.
- Mwongozo wa mwalimu uk 31.
|
|
7 |
Mtihani wa muhula kati na likizo |
8 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Majina ya wizara mbalimbali |
Mwanafunzi aweze:
- Kutaja majina ya wizara mbalimbali.
- Kueleza shughuli ya wizara mbalimbali.
|
- Kutaja baadhi ya majina ya mawaziroi na wizara.
- Kutaja wizara Fulani na kueleza inahusaka na nini.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kueleza shughuli za wizara zilizoorodheshwa..
- Kufanya zoezi.
|
- Bango
- Kamusi
- Magazeti
- Redio
- Runinga.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 44.
- Mwongozo wa mwalimu uk 33 – 34.
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu.
- Kujadili makala na kutoa maoni yake.
|
- Kutaja maana ya maneno mpya.
- Kusoma ufahamu kwa kwa sauti.
- Kusoma kimya.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 45
- Mwongozo wa mwalimu uk 34 – 35.
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Visawe |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana ya visawe.
- Kubainisha na kutumia visawe katika sentensi.
- Kutaja vinyume vya maneno.
|
- Kutaja maneneo yenya maana sawa
- Kupitia orodha ya maneno kitabuni.
- Kutumia hayo maneno kwenye Kwenya sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kamusi Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 46
- Mwongozo wa mwalimu uk 35 - 36.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viunganishi |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha viambishi vya chaguo na vya nyongeza.
- Kulimia viunganishi vya chaguo vya nyongeza kwa usahihi.
|
- Kueleza maana ya viunganishi.
- Kutoa mifano zaidi katika sentensi
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi
- Kusahihisha
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 Uk 47
- Mwongozo wa mwalimu uk 36 - 37
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha kwa usahihi kulingana na kichwa alichopewa.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka na nadhifu.
|
- Kutaja majina ya wizara mbalimbali
- Kupitia funzo kwa sauti makala ya ufahamu
- Kuwaeleza vipengele muhimu (vidokezo)
- Kuandika insha
- Kusahihisha.
|
|
- Kiswahili sanifu uk 47 darasa la8
- Mwongozo wa mwalimu uk 37 – 38.
|
|
9 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Ngonjera |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya ngonjera.
- Kukariri ngonjera kwa mahadhi mazuri
- Kufafanua ujumbe wa ngonjera
|
- Kutaja fani mbalimbali za ushairi kwa kuwauliza maswali.
- Kueleza maana ya ugonjwa.
- Kusoma kimyakimya.
- Kusoma ngonjera Kwa sauti
- Kueleza ujumbe
|
- Kielelezo cha ngonjera.
- kamusi
|
- Kiswahili darasa la 8 uk54.
- Mwongozo wa mwalimu uk 38 - 39
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze
- kusoma kwa ufasaha.
- Kueleza utanzi ni aina gani ya shairi.
- Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
|
- Kukariri baadhya beti ya ngonjera.
- Kuwauliza kuhusu kanuni za ushairi.
- Kusoma kimya kimya.
- Kuteua wanafunzi Fulani kusoma kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Kielelezo cha utanzu
- Kamusi
|
- Kiswahili Sanifu darasa la 8 uk 56
- Mwongozo wa mwalimu uk 39 – 40.
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Nomino za makundi. |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana ya nomino za makundi.
- Kutumia nomino za makundi katika sentensi.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka na nadhifu.
|
- Kukariri shairi la utenzi.
- Kueleza juu ya nomino za makundi
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kutumia nomino za makundi katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha
- Michoro
- Chaki
- Ubao.
|
- Kiswahili sanifu uk 57
- Mwongozo wa mwalimu uk 40 – 41.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viunganishi, unganishi |
Mwanafunzi aweze,
- Kueleza maana ya viunganishi.
- Kubainisha mifano ya viunganishi.
- Kutumia viunganishi kwa usahihi
|
- Kutaja aina ya viunganishi.
- Kueleza maana ya viunganishi unganishi.
- Kutoa mifano zaidi.
- Kupitia funzo kwa sauti
- Kufanya zoezi
|
- Vielelezo vya viunganishi.
|
- Kiswahili sanifu Darasa la 8 uk 58
- Mwongozo wa mwalimu uk 41 - 42
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuakifisha insha aliyopewa kwa usahihi.
- Kutunga shairi kwa kuzingatia arudhi kulingana na kichwa.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kutaja aina za mashairi.
- Kuwaeleza vidokezo vya kufuata unapoandika.
- Kuandika mashairi (Kutunga) kuzingatia kanuni za kutunga shairi.
- Kusahihisha
- Kufanya masahihisho
|
- Gazeti
- Jalada
- Wanafunzi wenyewe
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 59
- Mwongozo wa mwalimu uk 42 – 43
|
|
10 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Msamiati wa mahakamani. |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha msamiati wa mahakama.
- Kutumia msamiati wa mahakamanim kwa usahihi.
- Kueleza msamiati wa mahakamani.
|
- Kueleza wajibu wa watu waliohusika mahakamani.
- Kueleza kisa cha kuwachanganishaKuzungumza juu ya michoroKupitia funzo kwa sauti.
- Kueleza wajibu wa watu wanaohusika mahakamani.
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 60
- Mwongozo wa mwalimu uk 43 – 44
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu.
- Kujadili ujumbe wa makala.
- Kutumia msamiati mpya katika sentensi.
|
- Kutazama picha.
- Kuwauliza maswali kuhusu picha.
- Kusoma kimyakimya.
- Kupitia funzo
- Kufanya zoezi
|
- Picha/michoro.
- Kamusi
- Wanafuynzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 61.
- Mwongozo wa mwalimu uk 44 – 45.
|
|
|
3 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma kwa ufasaha.
- Kujibu maswali ya ufahamu.
- Kueleza maana ya msamiati mpya.
- Kutumia msamiati
- Mpya ipasavyo kwenye sentensi
|
- Kutaja msamiati wa mekoni.
- Kuzungumzia picha/ michoro
- Kutoa maana ya maneno mpya.
- Kusoma kimya kimya.
- Kufanya zoezi
- Kusahihisha
|
- Vifaa halisi
- Picha/michoro.
- Kamusi
- Wanafunzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu uk 73
- Mwongozo wa mwalimu uk 49 – 50.
|
|
|
4 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kubainisha maana na matumizi ya methali.
- Kutumia methali kwa usahihi.
- Kuandika na kufanya zoezi.
|
- Kueleza maana ya methali.
- Kueleza umuhimu wa medhali.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi
- Kusahihisha.
|
- Chati ya methali na maana yake.
|
- Kiswahili sanifu darasa 8 uk 75
- Mwongozo wa mwalimu uk 50 - 51
|
|
|
5 |
SARUFI |
Matumizi ya `si` |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza matumizi ya `si`
- Kutumia `si` katika sentensi kwa usahihi.
|
- Kutaja methali zinazotumia si
- Kutoa maelezo.
- Kuongoza kupitia funzo kwa sauti.
- Kupitia zoezi kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Chati yenye sentensi za `si` katika ngeli yote.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 76
- Mwongozo wa mwalimu uk 51 - 52.
|
|
11 |
1 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha ya kubuni kwa usahihi.
- Kuandika insha ya maelezo kwa usahihi.
- Kuandika kwa hati inayosomeka.
|
- Kuimba wimbo wenye maadili
- Kusimulia kuhusu karamu ulizohudhuria
- Kueleza mambo muhimu.
- Kueleza namna ya kupika chakula tamu.
- Kuandika insha
- Kusahihisha
|
- Resipe ya vyakula
- Wanafunzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 77
- Mwongozo wa mwalimu uk 52 - 53
|
|
|
2 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma methali na maana yake.
- Kubainisha maana na matumizi ya methali.
- Kutumia methali kwa usahihi.
|
- Kueleza umuhimu wa methali.
- Kuandika methali mojamoja ubaoni.
- Kueleza maana ya methali.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 62
- Mwongozo wa mwalimu uk 45 - 46
|
|
|
3 |
SARUFI |
Maneno ya kutilia mkazo |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya takriri.
- Kubainisha maneno ya kutilia mkazo.
- Kutumia maneno ya kutilia mkazo katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
- Kukamilisha methali za funzo lililopita.
- Kuwaongoza kupitia funzo kwa sauti.
- Kutumia takriri katika sentensi.
- Kupitia zoezi kwa sauti.
- Kufanya zoezi
- Kusahihisha.
|
- Kadi za takriri
- Ubao
- chaki.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 63
- Mwongozo wa mwalimu uk 46 - 47
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Insha (kumbukumbu) |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha insha za kumbukumbu na sifa zake.
- Kuandika insha ya kumbukumbu
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kueleza maana ya kumbukumbu.
- Kuwaongoza kutaja hatua (vidokezo) Vinavyofuatwa kuandikwa.
- Kupitia funzo
- Kwa sauti
- Kuandika wakitumia mfano waliosoma.
- Kusahihisha.
|
- Kielelezo cha insha.
- Funzo la kitabu
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 64
- Mwongozo wa mwalimu uk 47 - 48
|
|
|
5 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mekoni |
Mwanafunzi aweze:
- Kufafanua baadhi ya msamiati wa mekoni.
- Kujadili shughuli za mekoni.
- Kutumia msamiati wa mekoni kwa usahihi
|
- Kukamilisha methali za funzo lililopita.
- Kuwauliza kuhusu mekoni.
- Kuzungumzia michoro kitabuni.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha/michoro
- Vifaa halisa
- kamusi
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 72.
- Mwongozo wa mwalimu uk 48
|
|
12 - 13 |
Marudio na Maandalizi ya mtihani wa mwisho wa muhula |
|
14 |
Mtihani wa mwiso wa muhula na kufunga |
|
MUHULA 2 |
|
1 |
Kufungua,marudio na mazoezi |
|
2 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
- Kusoma ufahamu na kuelewa habari aliyosoma.
- Kueleza maana ya msamiati na kujibu maswali ya ufahamu.
|
- Kusoma kwa ufasaha
- Kutunga sentensi.
- Kujibu maswali ya ufahamu
|
|
- Kiswahili mufti 125 - 129
- Kiswahili sanifu
- Kiswahili kwa darasa.1, 2, 3.
|
|
|
2 |
NGELI SARUFI |
Ngeli ya I – I |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja nomino katika ngeli ya I – I
- Kuchambua ngeli hii akirejelea viambishi ngeli,Virejeshi, viunganishi,vivumishi na vikanusha
- Kufanya zoezi.
|
- Kusoma mifano ya majina na sentensi.
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili mufti 127 – 129
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Jina la sifa kutokana na sifa |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kuunda maneno ya sifa kutokana na sifa.
- Kutaja methali zinazotumia maneno yaliyopewa.
|
- Kujibu maswali kwa kutamka.
- Kuunda majina ya sifa.
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Kutendesha na kutendeka. |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kubadilisha vitenzi katika kauli ya kutendeshwa na kutendeka.
- Kutunga sentensi sahihi.
- Kufanya zoezi kwa ufasaha.
|
- Kutunga sentensi
- Kubadilisha vitenzi.
- Kufanya kazi.
|
- Kamusi ya Kiswahili
- Ubao.
|
|
|
|
5 |
MSAMIATI |
Maliasili |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiatiwa maliasili.
- Kutunga sentensi sahihi zenye msamiati huo
- Kutambua maliasili.
|
- Kusoma kwa ufahamu.
- Kutunga sentens
- Kusoma zoezi
|
|
- Kiswahili mufti 131 - 132
|
|
3 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kusoma kwa ufasaha na kutamka maneno kwa usahihi.
- Kutunga sentensi kwa kutumia maneno magumu.
- Kujibu maswali ya ufahamu.
|
- Kusoma kwa ufasaha
- Kutunga sentensi.
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili mufti 135 - 13
- Kiswahili kwa darasa
- Kiswahili sanifu
|
|
|
2 |
SARUFI |
Ngeli ya PA – KU - MU. |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja maneno katika ngeli hii.
- Kuchambua ngeli hii kwa kuchambiua viambishi ngeli, virejeshi, viunganishi, vivumishi na vikanushi.
|
- Kutaja nomino.
- Kuchora jedwali.
- Kujibu maswali.
|
|
- Kiswahili mufti 138 - 142
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA. |
Watu mbalimbali |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja majina ya watu mbalimbali.
- Kujadili umuhimu wao.
Kufanya zoezi.
|
- Kutaja majina ya watu.
- Kujadili kwenye vikundi.
- Kujibu maswali kwa kutamka.
|
- Kamusi
- Bango
- Kadi za maneno
|
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Insha ya maelezo. |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha kwa mtiririko mzuri na kufuata utaratibu unaofaaKutumia msamiati unaofaa katika insha hii.
|
- Kuandika insha ya maelezo.
|
|
|
|
|
5 |
MSAMIATI |
Tarakimu |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja idadi wliopewa kwa maneno.
Kujibu maswali kwa usahihi
|
- Kusoma tarakimu
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi
|
|
|
|
4 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma kwa sauti na kutamka maneno harakaharaka
- Kutumia maneno magumu
- Kujibu maswali harakaharaka.
|
- Kusoma kwa ufasaha.
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu
- Kiswahili kwa darasa
- Kiswahili mufti 148 - 150
|
|
|
2 |
SARUFI |
Vihisishi |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutambua maana ya vihisishi na jinsi vinavyotumiwa.
- Kutunga sentensi akitumia vihisishi kwa usahihi.
|
- Kueleza maana
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi
|
|
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Tasfida Kujifunza umuhimu wa maadili. |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kufanya zoezi kwa usahihi na adabu njema.
- Kutunga sentensi akitumia maneno ya adabu.
|
- Kutaja maneno ya adabu njema.
- Kutamka maneno hayo.
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Insha ya mazungumzo |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutambua utaratibu wa kuandika insha hii;
- Kuandika insha ya mazungumzo kwa utaratibu .
- Kutumia maneno ya adabu katika uandishi wa insha hii.
|
- Kutambua maelezo na utaratibu wa insha.
- Kuandika.
|
|
|
|
|
5 |
Msamiati |
Mali asili |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja msamiati wa maliasili.
- Kutunga sentensi akitumia msamiati huo.
- Kufanya zoezi.
|
- Kusoma
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi
|
|
|
|
5 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma maneno kwa sauti na kuyatamka barabara.
- Kueleza maana ya msamiati.
- Kujibu maswali kwa sauti.
|
- Kusoma
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi.
|
- Picha vitabuni
- Kadi za maneno
|
- Kiswahili mufti 156 - 159
|
|
|
2 |
SARUFI |
Viunganishi |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya viunganishi.
- Kutunga sentensi ukitumia viunganishi.
- Kufanya mazoezi kwa ufasaha
|
- Kujibu maswali kwa kutamka.
- Kueleza maana
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili mufti 160 - 161
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA. |
Sentensi |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kukosoa sentensi zilizoendelezwa vibaya.
- Kujadiliana kwa ufasaha.
|
- Kukosa sentensi
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili mufti 161 - 162
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Kukanusha |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutofautisha kati ya kukanusha na kinyume
- Kukanusha sentensi katika nyakayi mbalimbali.
|
- Kutofautisha kinyume na ukanushi.
- Kufanya zoezi
|
|
|
|
|
5 |
MSAMIATI |
Viumbe vya kike na kiume. |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja kinyume katika utanzu wa tanzia.
- Kufanya zoezi kwa ufasaha.
|
- Kutaja kinyume
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili mufti 162 - 164
|
|
6 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
- Kutaja aina ya miti ya matunda ajuayo
- Kusoma taarifa kwa sauti akizingatia uakifishaji bora.
- Kujibu maswali.
|
- Kutaja aina ya matunda
- Kusoma
- Kufanya zoezi
|
- Picha vitabuni
- Kadi za maneno
|
- Kiswahili mufti
- Kiswahili sanifu
- Kiswahili kwa darasa
|
|
|
2 |
SARUFI |
Vielezi takriri |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja maneno ya kutilia mkazo barabara
- Kuyatumia maneno hayo kutunga sentensi
- Kujibu maswali kwa usahihi.
|
- Kutaja maneno
- Kutunga sentensi.
- Kujibu maswali.
|
|
- Kiswahili mufti 168 – 169
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Kutunga sentensi |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutunga sentensi sahihi akizingatia matamshi bora.
Kutumia alama za uakifishaji barabara
|
|
|
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Barua |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutambua muundo wa barua rasmi
- Kutambua muundo wa barua ya kirafiki.
- Kuandika barua rasmi
|
- Kueleza tofauti baina ya rasmi na ya kirafiki.
- Kuandika barua rasmi.
|
|
- Kiswahili mufti 169 - 171
|
|
|
5 |
Msamiati |
Nomino za makundi |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja nomino za makundi
- Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino hizo.
- Kujibu maswali.
|
- Kutaja majina katika umoja na uwingi
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi.
|
- Bango
- Nakala
- Vifaa halisi
|
- Kiswahili mufti 172 – 174
|
|
7 |
mtihani wa kati ya muhula |
|
8 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kusoma taarifa kwa sauti na kutamka maneno barabara
- Kutunga sentensi akitumia maneno magumu.
- Kujibu maswali kwa usahihi
|
- Kutaja majina katika umoja na wingi.
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili kwa darasa
- Kiswahili sanifu
- Kiswahili mufti 175 - 177
|
|
|
2 |
SARUFI |
Kirejeshi -amba |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja majina katika hali ya wingi na umoja kutumia kirejeshi amba katika ngeli tofauti.
- Kujibu maswali kwa usahihi.
|
- Kutaja majina katika umoja na wingi.
- Kutunga sentensi
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili mufti 177 – 179
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
Michezo mbalimbali |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja manufaa ya michezo
Kufafanua aina mbalimbali za michezo.
|
- Kutaja manufaa ya michezo
- Kufafanua aina mbalimbali ya michezo.
|
|
- Kiswahili mufti 179 – 181
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Insha |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha ya kusisimua na kujieleza kwa kiwango chake.
|
- Kuandika insha na kujieleza kwa kiwango chake.
|
|
- Kiswahili mufti 181 - 183
|
|
|
5 |
MSAMIATI |
Visawe |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja visawe vya maneno aliyopewa.
- Kutunga sentensi fupifupi akitumia visawe alivyopewa.
|
- Kutaja visawe vya kutumia
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
9 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya neno mikasa na aina ya mikasa aijuayo
- Kusoma ufahamu kwa sauti
- Kujibu maswali kwa sauti
|
- Kueleza maana
- Kusoma kwa sauti
- Kujadili
|
- Kadi za maneno
- Picha michoro
|
- Kiswahili sanifu
- Kiswahili kwa darasa
- Kiswahili mufti 185 – 186
|
|
|
2 |
SARUFI |
Usemi halisi na usemi wa taarifa |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kueleza tofauti zilizopo baina ya usemi taarifa na halisi.
Kujibu maswali.
|
- Kueleza tofauti
- Kutunga sentensi
- Kujibu maswali
|
|
- Kiswahili mufti 186 – 188
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Sentensi zinazotumi amba. |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutunga sentensi sahihi kutumia kirejeshi amba ipasavyo.
- Kutumia kirejeshi o tamati na kirejeshi o kati
|
- Kutunga sentensi
- Kujibu maswali
- Kueleza tofauti
|
|
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Insha Kumbukumbu |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kuandika kumbukumbu za mikutano ipasavyo.
- Kutambua na kueleza taratibu zote za insha za kumbukumbu.
|
- Kueleza maana ye kumbukumbu
- Kueleza utaratibu
- Kuandika insha
|
|
- Kiswahili mufti 195 – 198
|
|
|
5 |
MSAMIATI |
Matunda mimea |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutaja aina kadha za matunda.
- Kutaja baadhi ya mimea.
- kufanya zoezi
|
- Kutaja aina ya matunda.
- Kutazama matunda
- Kufanya zoezi
|
|
|
|
10 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kusoma ufahamu kwa usahihi Kueleza maana ya maneno magumu Kujibu maswali ya ufahamu
|
- Kusoma
- Kueleza maana ya maneno magumu
- Kujibu maswali.
|
- Vifaa vya hisabati na rula
|
- Kiswahili sanifu
- Kiswahili kwa darasa
- Kiswahili mufti 212 – 217
|
|
|
2 |
SARUFI |
Matumizi ya kishirikishi ndi |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kutambua matumizi ya kihusishi ndi
- Kutunga sentensi sahihi akitumia kishirikishi ndi
|
- Kutambua matumizi ya ndi
- Kutunga sentensi
- Kufanya mazoezi
|
|
- Kiswahili mufti 217 – 219
|
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mafumbo |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kuwafumbia wanafunzi wenzake ili wafumbue.
- Kufumbua mafumbo aliyoambiwa na wenzake.
|
- Kufumba na kufumbua mafumbo
|
|
- Kiswahili mufti 219 – 220
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Sentensi za kinyume,Semi za neno tia na kutia. |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kueleza tofauti kati ya kinyume na kukanusha.
- Kuandika kinyume.
- Kuandika sentensi za tia na kutia.
|
- Kueleza tofauti ya kinyume na kukanusha.
- Kuandika kinyume
- Kufanya zoezi
|
|
|
|
|
5 |
MSAMIATI |
Vitawe |
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vitawe
- Kueleza maana mbalimbali za kila neno na kutamka.
|
- Kueleza maana ya vitawe
- Kuandika kinyume
- Kufanya mazoezi
|
|
- Kiswahili mufti 221 – 222
|
|
11 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
|
Maamkizi Kufikia mwisho wa kipindi,mwanafunzi aweze:
- Kuamkiana kwa njia ifaayo.
- Kubainisha matumizi ya msamiati wa adabu na heshima.
|
- Kuuliza na kujibu maswali juu ya adabu njema.
- Kutoa maelezo ya jinsi ya kusalimu na kujibu salamu.
- Kuiga na kuigiza kuhusu salamu.
- Kurudia matumizi ya msamiati wa maamkizi.
|
- Picha
- Michoro.
- Chati ya maamkizi.
- Kamusi.
|
- Kiswahili sanifu darasa la nane uk 2
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
- Kuigiza michezo na kutumia misamiati mpya kwa usahihi.
|
- Kurejelea somo lililopita
- Kuzungumza juu ya picha na michoro.
- Kusoma ufahamu.
- Kuongoza kupitia maswali ya ufahamu.
- Kujadili mada inafunza nini.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha/michoro
- Kamusi
- Wanafunzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu darasa la nane uk 2
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Shairi |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma shairi kwa ufasaha.
- Kuikiri shairi kwa mahadhi mazuri.
- Kufafanua ujumbe wa shairi.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka
|
- Kurejelea kipindi kilichopita.
- Kueleza maana ya maneno mpya.
- Kukariri shairi kwa mahadhi mazuri.
- Kushindana kwenye makundi.
- Kuzungumza na kujadili funzo.
|
- Kamusi
- Shairi kitabuni.
- Wanafunzi wenyewe
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 4.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viambishi vya ugeni. |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya viambishi.
- Kutaja aina ya viambishi na kubainisha viambishi vya ngeli.
- Kutumia viambishi vya ngeli katika sentensi.
|
- Kurejelea somo lililopita.
- Kueleza aina ya viambishi ngeli.
- Kutoa maelezo kuhusu viambishi vya ngeli.
- Kupitia zoezi kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Chati.
- Jedwali la viambishi ngeli
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 5.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze kuandika insha kwa:
- Kujaza pengo kwa usahihi.
- Kutumia manano ya heshima ifaayo katika insha.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kushindana darasani juu ya msamiati juu ya adabu waliyojifunza.
- Kuuliza na kujibu maswali juu ya heshima na adabu njema.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kuandika insha.
- Kusahihisha insha.
|
- Kielelezo cha insha.
- Tajriba ya wanafunzi.
|
- Kiswahili Sanifu Darasa la 8 Uk 7
|
|
12 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Msamiati wa akisami. |
Mwanafunzi aweze
- Kubainisha akisami pamoja na maelezo yake.
- Kuandika na kuhesabu akisami kwa usahihi.
|
- Kuuliza maswali juu ya akisami.
- Kuandika na kuonyesha akisami kwa michoro.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha zoezi lililofanywa.
|
- Michoro.
- Picha.
- Kadi za akisami.
- Kamusi
- Chati za akisami.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 8
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu kwa ufasaha.
- Kutumia msamiati mpya kwa usahihi.
- Kueleza funzo la hadithi hii.
|
- Kuuliza maswali juu ya kazi.
- Kuhimiza wanafunzi kutoa hadithi fupifupi
- Kueleza maana ya maneno mpya.
- Kusoma ufahamu.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 9.
- Mwongozo wa mwalimu uk 9
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Misemo na methali |
Mwanafunzi aweze
- kubainisha misemo na methali.
- Kufafanua maana ya misemo na methali.
- Kutumia misemo na methali katika sentensi kwa usahihi.
|
- Kuuliza maana za misemo.
- Kueleza umuhimu wa misemo na methali katika lugha.
- Kuandika misemo na methali ubaoni.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha zoezi.
|
- Vielelezo vya misemo na methali.
- Kamusi
- Kitabuni.
|
- Kiswahili sanifu uk 11 darasa la 8.
- Mwongozo wa mwalimu uk 9 – 10.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Vivumishi visivyo chukua viambishi ngeli. |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha vivumishi visivyochukua viambishi ngeli katika umoja na wingi.
- Kutumia vivumishi hivyo katika sentensi.
|
- Kutaja vivumishi.
- Kuonyesha vivumishi vinavyobadilika katika ngeli mbali mbali.
- Kuonyesha vivumishi visivyochukua viambishi ngeli.
- Kupitia somo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 12.
- Mwongozo wa mwalimu uk 11.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha akitumia maneneo aliyopewa kwa usahihi.
- Kubui kisa kulingana na kichwa alichopewa.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka. Kueleza maana ya misemo waliyofunzwa.
|
- Kueleza hatua za kufuata.
- Kueleza kisa.
- Kupitaia funzo kwa sauti.
- Kuandika insha.
- Kusahihisha insha.
|
- Insha ya kubuni.
- Kielelezo cha insha.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 14.
- Mwongozo wa mwalimu uk 12 – 13
|
|
13 |
Mazoezi na maandalizi ya mtihani wa mwisho wa muhula |
|
14 |
Mtihani wa mwiso wa muhula wa pili na kufunga |
|
|
MUHULA 3 |
|
1 |
Kufungua,mazoezi na marudio |
|
2 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Tarakimu (10,000,000 – 100,000,000) |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kuzungumza tarakimu za idadi(10,000,000 – 100,000,000)
- Kuhesabu na kuandika tarakimu.
|
- Kusoma tarakimu chini ya 10,000,000
- Kuandika tarakimu ubaoni.
- Kufundisha tarakimu
- kutamka tarakimu kwa usahihi.
- Kuafanya zoezi.
|
- Kadi za tarakimu.
- Ramani ya ulimwengu.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 20.
- Mwongozo uk 14 – 15.
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze
- Kusoma na kujibu maswali ya ufaha mu.
- Kutaja majina ya sayari.
- Kutumia msamiati wa sayari kwa usahihi.
|
- Kuuliza maswali juu ya anga.
- Kuona picha na kueleza wanachokiona.
- Kusoma ufahamu na kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 21.
- Mwongozo wa mwalimu uk 16 - 17
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Vitate |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya neno vitate.
- Kutumia vitate katika sentensi.
- Kueleza maana mbalimbali za vitate.
|
- Kuandika somo la alfabeti na silabi.
- Kuorodhesha vitate ubaoni.
- Kutoa maana ya vitate katika kamusi.
- Kutunga sentensi kutumia vitate.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu uk 23.Darasa la 8.
- Mwongozo wa mwalomu uk 17 -18.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Vihihishi |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vihihishi.
- Kubainisha mifano ya vihihishi.
- Kutumia vihihishi katika sentensi kwa usahihi.
|
- Kutaja na kueleza vitate.
- Kueleza vihihishi na kutoa mifano na matumizi yake
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kutumia vihihishi katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu uk 23.
- Mwongozo wa mwalimu uk 19.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha ya kujaza mapengo kwa maneno aliyopewa kwa usahihi.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kutoa hadithi fupi.
- Kuandika insha.
- Kusahihisha insha
- Kutoa hatua zilizoajika.
|
- Wanafunzi
- Vielelezo vya insha.
|
- Kiswahili Sanifu darsa la 8 uk 25
- Mwongozo wa mwalimu uk 20
|
|
3 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Dira |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha msamiati wa dira.
- Kuchora dira yenye pembe 16
- Kutumia msamiati wa dira kwa usahihi.
|
- Kueleza uchi zilizotajwa katika funzo la tarakimu.
- Kutaja pembe za dunia.
- Kuchora dira la somo hili.
- Kusoma yaliyokitabuni kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha
- Michoro
- Chati ya dira
|
- Kiswahili sanifu uk 26
- Mwongozo wa mwalimu uk 21
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma methali na maana zake kwa ufasaha.
- Kubainisha umuhimu wa methali.
- Kutumia methali katikla sentensi kwa usahihi
|
- Kukamilisha methali za funzo lililopita.
- Kueleza umuhimu wa methali.
- Kuandika methali moja kwa moja ubaoni.
- Kupitia funzo
- kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 28
- Mwongozo wa mwalimu uk 23 – 24
|
|
|
4 |
SARUFI |
Vihisishi |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha aina mbalimbalimya vihisishi na mifano yake.
- Kutoa na kutumia mifano sahihi ya aina ya vihisishi katika sentensi kwa usahihi
|
- Kutaja na kueleza aina ya vihisishi.
- Kuthoa mifano kwenye sentensi.
- Kueleza matumizi yake.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Fanya zoezi
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 29
- Mwongozo wa mwalimu uk 24 – 25.
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Barua ya kirafiki. |
Mwanafunzi aweze :
- Kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa usahihi akitumia maneno aliyopewa.
- Kuandika barua ya kirafiki kwa usahihi.
- Kueleza maana ya baadhi ya misemo.
|
- Kueleza maana ya misemo.
- Kuongeza ujuzi wa kuandika barua ya kirafiki.
- Kuandika insha.
- Kusahihisha insha.
|
- Vielelezo vya barua ya kirafiki.
- Wanafunzi.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 30.
- Mwongozo wa mwalimu uk wa 24 – 25.
|
|
5 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mali ya asili |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana yana ya mali ya asili.
- Kuorodhesha maliasili zinazopatikana nchini.
- Kufafanua faida za maliasili na wajibu wake.
|
- Kutaja mapambo ya mwili.
- Kuuliza na kujibu maswali.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kutoa maelezo juu ya maliasili.
- Kushindana juu ya msamiati ya maliasili.
|
- Ramani ya Kenya
- Picha
- Michoro
- kamusi
|
- Kiswahili sanifu uk 38 darasa la 8.
- Mwongozo wa mwalimu uk 27 - 28
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma kwa ufasaha.
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kuzingatia mafunzo katika somo.
|
- Kuzungumza juu ya picha/mchoro
- Kueleza maana ya maneno mpya.
- Kusoma kimya kimya
- Kusoma kwa sauti
- Kupitia maswali kwa sauti
- Kufanya mazoezi.
|
- Picha/michoro
- Vifaa halisi
- Ramani ya Kenya.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 39
- Mwongozo wa mwalimu uk 28 – 29.
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma methali.
Kutoa methali zinazopangana kimaana.
- Kutumia methali kwa usahihi.
|
- Kueleza maana ya methali.
- Kueleza umuhimu wa methali katika lugha.
- Kupitia funzo
- kwa sauti.
- Kufanya zoezi na kusahihisha.
|
- Chati ya methali.
- Kamusi
- Funzo Kitabuni.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 40.
- Mwongozo wa mwalimu uk 29 - 30
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viunganishi |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana ya viunganishi.
- Kubainisha mifano ya viunganishi vya sababu.
- Kutumia viunganishi vya sababu katika sentensi.
|
- Kutaja aina za madini zinazopatikana.
- Kueleza maana ya viunganishi vya sababu na kutoa mifano.
- Kutoa mifano zaidi katika sentensi.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kusaidia na kusahihisha
|
- Vielelezo vya viunganishi vya sababu
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 41
- Mwongozo wa mwalimu uk 30
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuakifisha insha aliyopewa kwa usahihi.
- Kuandika insha kulingana na kichwa alichopewa.
- Kuandia kwa hati zinazosomeka.
|
- Kutoa hadithi fupi.
- Kutaja baadhi ya alama za kuakifisha na kueleza matumizi yake.
- Kusoma insha na kuakifisha kimyakimya.
- Kuwapa insha.
- Kusahihisha insha.
|
- Vielelezo vya insha ya machezo
|
- Kiswahili Sanifu darasa la 8 uk 42.
- Mwongozo wa mwalimu uk 31.
|
|
6 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Majina ya wizara mbalimbali |
Mwanafunzi aweze:
- Kutaja majina ya wizara mbalimbali.
- Kueleza shughuli ya wizara mbalimbali.
|
- Kutaja baadhi ya majina ya mawaziroi na wizara.
- Kutaja wizara Fulani na kueleza inahusaka na nini.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kueleza shughuli za wizara zilizoorodheshwa..
- Kufanya zoezi.
|
- Bango
- Kamusi
- Magazeti
- Redio
- Runinga.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 44.
- Mwongozo wa mwalimu uk 33 – 34.
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu.
- Kujadili makala na kutoa maoni yake.
|
- Kutaja maana ya maneno mpya.
- Kusoma ufahamu kwa kwa sauti.
- Kusoma kimya.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 45
- Mwongozo wa mwalimu uk 34 – 35.
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Visawe |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana ya visawe.
- Kubainisha na kutumia visawe katika sentensi.
|
- Kutaja vinyume vya maneno.
- Kutaja maneneo yenya maana sawa
- Kupitia orodha ya maneno kitabuni.
- Kutumia hayo maneno kwenye Kwenya sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha/michoro
- Chati
- Kamusi
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 46
- Mwongozo wa mwalimu uk 35 - 36.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viunganishi |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha viambishi vya chaguo na vya nyongeza.
- Kulimia viunganishi vya chaguo vya nyongeza kwa usahihi.
|
- Kueleza maana ya viunganishi.
- Kutoa mifano zaidi katika sentensi
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi
- Kusahihisha
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 Uk 47
- Mwongozo wa mwalimu uk 36 - 37
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha kwa usahihi kulingana na kichwa alichopewa.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka na nadhifu.
|
- Kutaja majina ya wizara mbalimbali
- Kupitia funzo kwa sauti makala ya ufahamu.
- Kuwaeleza vipengele muhimu (vidokezo)
- Kuandika insha
- Kusahihisha.
|
|
- Kiswahili sanifu uk 47 darasa la8
- Mwongozo wa mwalimu uk 37 – 38.
|
|
6 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Ngonjera |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya ngonjera.
- Kukariri ngonjera kwa mahadhi mazuri
- Kufafanua ujumbe wa ngonjera
|
- Kutaja fani mbalimbali za ushairi kwa kuwauliza maswali.
- Kueleza maana ya ugonjwa.
- Kusoma kimyakimya.
- Kusoma ngonjera
- Kwa sauti
- Kueleza ujumbe
|
- Kielelezo cha ngonjera.
- kamusi
|
- Kiswahili darasa la 8 uk54.
- Mwongozo wa mwalimu uk 38 - 39
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze
- kusoma kwa ufasaha.
- Kueleza utanzi ni aina gani ya shairi.
- Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
|
- Kukariri baadhya beti ya ngonjera.
- Kuwauliza kuhusu kanuni za ushairi.
- Kusoma kimya kimya.
- Kuteua wanafunzi Fulani kusoma kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Kielelezo cha utanzu
- Kamusi
|
- Kiswahili Sanifu darasa la 8 uk 56
- Mwongozo wa mwalimu uk 39 – 40.
|
|
|
3 |
MSAMIATI |
Nomino za makundi. |
Mwanafunzi aweze :
- Kueleza maana ya nomino za makundi.
- Kutumia nomino za makundi katika sentensi.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka na nadhifu.
|
- Kukariria shairi la utenzi.
- Kueleza juu ya nomino za makundi.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kutumia nomino za makundi katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha
- Michoro
- Chaki
- Ubao.
|
- Kiswahili sanifu uk 57
- Mwongozo wa mwalimu uk 40 – 41.
|
|
|
4 |
SARUFI |
Viunganishi, unganishi |
Mwanafunzi aweze,
- Kueleza maana ya viunganishi.
- Kubainisha mifano ya viunganishi.
- Kutumia viunganishi kwa usahihi
|
- Kutaja aina ya viunganishi.
- Kueleza maana ya viunganishi unganishi.
- Kutoa mifano zaidi.
- Kupitia funzo kwa sauti
- Kufanya zoezi
|
- Vielelezo vya viunganishi.
|
- Kiswahili sanifu Darasa la 8 uk 58
- Mwongozo wa mwalimu uk 41 - 42
|
|
|
5 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuakifisha insha aliyopewa kwa usahihi.
- Kutunga shairi kwa kuzingatia arudhi kulingana na kichwa.
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kutaja aina za mashairi.
- Kuwaeleza vidokezo vya kufuata unapoandika.
- Kuandika mashairi (Kutunga) kuzingatia kanuni za kutunga shairi.
- Kusahihisha
- Kufanya masahihisho
|
- Gazeti
- Jalada\
- Wanafunzi wenyewe
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 59
- Mwongozo wa mwalimu uk 42 – 43
|
|
7 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Msamiati wa mahakamani. |
Mwanafunzi aweze:
- Kubainisha msamiati wa mahakama.
- Kutumia msamiati wa mahakamanim kwa usahihi.
- Kueleza msamiati wa mahakamani.
- Kueleza wajibu wa watu waliohusika mahakamani.
|
- Kueleza kisa cha kuwachanganisha Kuzungumza juu ya michoroKupitia funzo kwa sauti.
- Kueleza wajibu wa watu wanaohusika mahakamani
- Kufanya zoezi
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 60
- Mwongozo wa mwalimu uk 43 – 44
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu.
- Kujadili ujumbe wa makala.
- Kutumia msamiati mpya katika sentensi.
|
- Kutazama picha.
- Kuwauliza maswali kuhusu picha.
- Kusoma kimyakimya.
- Kupitia funzo
- Kufanya zoezi
|
- Picha/michoro.
- Kamusi
- Wanafuynzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 61.
- Mwongozo wa mwalimu uk 44 – 45.
|
|
|
3 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma kwa ufasaha.
- Kujibu maswali ya ufahamu.
- Kueleza maana ya msamiati mpya.
- Kutumia msamiati
|
- Kutaja msamiati wa mekoni.
- Kuzungumzia picha/ michoro
- Kutoa maana ya maneno mpya.
- Kusoma kimya kimya.
- Mpya ipasavyo kwenye sentensi Kufanya zoezi
- Kusahihisha
|
- Vifaa halisi
- Picha/michoro.
- Kamusi
- Wanafunzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu uk 73
- Mwongozo wa mwalimu uk 49 – 50.
|
|
|
4 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma na kubainisha maana na matumizi ya methali.
- Kutumia methali kwa usahihi.
Kuandika na kufanya zoezi.
|
- Kueleza maana ya methali.
- Kueleza umuhimu wa medhali.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi
- Kusahihisha.
|
- Chati ya methali na maana yake.
|
- Kiswahili sanifu darasa 8 uk 75
- Mwongozo wa mwalimu uk 50 - 51
|
|
|
5 |
SARUFI |
Matumizi ya `si` |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza matumizi ya `si`
- Kutumia `si` katika sentensi kwa usahihi.
|
- Kutaja methali zinazotumia si
- Kutoa maelezo.
- Kuongoza kupitia funzo kwa sauti.
- Kupitia zoezi kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
- Chati yenye sentensi za `si` katika ngeli yote.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 76
- Mwongozo wa mwalimu uk 51 - 52.
|
|
8 |
1 |
KUANDIKA |
Insha |
Mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha ya kubuni kwa usahihi.
- Kuandika insha ya maelezo kwa usahihi.
- Kuandika kwa hati inayosomeka.
|
- Kuimba wimbo wenye maadili
- Kusimulia kuhusu karamu ulizohudhuria.
- Kueleza mambo muhimu.
- Kueleza namna ya kupika chakula tamu.
- Kuandika insha
- Kusahihisha
|
- Resipe ya vyakula
- Wanafunzi wenyewe.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 77
- Mwongozo wa mwalimu uk 52 - 53
|
|
|
2 |
MSAMIATI |
Methali |
Mwanafunzi aweze:
- Kusoma methali na maana yake.
- Kubainisha maana na matumizi ya methali.
- Kutumia methali kwa usahihi.
|
- Kueleza umuhimu wa methali.
- Kuandika methali mojamoja ubaoni.
- Kueleza maana ya methali.
- Kupitia funzo kwa sauti.
- Kufanya zoezi.
|
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 62
- Mwongozo wa mwalimu uk 45 - 46
|
|
|
3 |
SARUFI |
Maneno ya kutilia mkazo |
Mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya takriri.
- Kubainisha maneno ya kutilia mkazo.
- Kutumia maneno ya kutilia mkazo katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
- Kukamilisha methali za funzo lililopita.
- Kuwaongoza kupitia funzo kwa sauti
- Kutumia takriri katika sentensi
- Kupitia zoezi kwa sauti.
- Kufanya zoezi
- Kusahihisha.
|
- Kadi za takriri
- Ubao
- chaki.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 63
- Mwongozo wa mwalimu uk 46 - 47
|
|
|
4 |
KUANDIKA |
Insha (kumbukumbu) |
Mwanafunzi aweze
- Kubainisha insha za kumbukumbu na sifa zake.
- Kuandika insha ya kumbukumbu
- Kuandika kwa hati zinazosomeka.
|
- Kueleza maana ya kumbukumbu.
- Kuwaongoza kutaja hatua (vidokezo) Vinavyofuatwa kuandikwa.
- Kupitia funzo
|
- Kielelezo cha insha.
- Funzo la kitabu
- Kwa sauti
- Kuandika wakitumia mfano waliosoma.
- Kusahihisha.
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 64
- Mwongozo wa mwalimu uk 47 - 48
|
|
|
5 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mekoni |
Mwanafunzi aweze:
- Kufafanua baadhi ya msamiati wa mekoni.
- Kujadili shughuli za mekoni.
- Kutumia msamiati wa mekoni kwa usahihi
|
- Kukamilisha methali za funzo lililopita.
- Kuwauliza kuhusu mekoni.
- Kuzungumzia michoro kitabuni.
- Kufanya zoezi.
|
- Picha/michoro
- Vifaa halisa
- kamusi
|
- Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 72.
- Mwongozo wa mwalimu uk 48
|
|
9 |
Mtihani wa mwiso wa muhula kati na kufunga |
|