Kiswahili (Kwa Darasa) - Class 8 Schemes of Work Term 3 2023

Rate this item
(0 votes)

RATIBA YA MAFUNZI YA KISWAHILI
DARASA LA 8
MUHULA 3 2023

WIKI KIPINDI FUNZO MADA SHABAHA SHUGHULI ZA MAFUNZO NYENZO ASILIA MAONI
1 Marudio ya kazi ya muhula wa pili kwa kumulika mada mbalimbali
 2  1  KUSIKILIZA NA KUONGEA  Misemo -nahau 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kufumba na kufumbua mafumbo kwa ustadi. 
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • kufumbua mafumbo 
  • Ubao
  • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi.
  • Kiswahili kwa darasa la 8: kitabu cha wanafunzi:
  • Kiswahili kitukuzwe( toleo la tatu);uk 124
 
   2  KUSOMA   Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kukariri ( shairi kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye shairi hilo kwa usahihi. 
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi 
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha mwanafunzi. 
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk 125
 
   3  KUANDIKA  Insha 

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika insha ya methali kwa hati nadhifu. 
  • Kuandika sentensi 
  • Ubao
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk.127
 
   4  SARUFI   Kirejeshi -amba -na ngeli 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutambua matumizi sahihi ya kirejeshi amba na ngeli’ 
  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi 
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao 
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk127
 
   5  MSAMIATI   Majina ya wafanyikazi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuitambua msamiati wa majina ya waf anyikazi na kuitumia kuunda sentensi sahihi. 
  • Kujadili misamiati Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi 
  • Ubao
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk 128
 
 3  1  KUSIKILIZA NA KUONGEA   Sentensi zenye miundo mbalimbali 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutunga sentensi zenye miundo mbalimbali katika umoja na wingi.
  •  Kutunga sentensi
  • Kuuliza nakujibu maswali. 
  • Ubao 
  • Kiswahili kwa darasa la 8: kitabu cha wanafunzi:
  • Kiswahili kitukuzwe( toleo la tatu);uk 131
 
   2  KUSOMA   Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kusoma taarifa ( kamusi) kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi  
  • Ubao
  • Taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 132
 
   3  KUANDIKA   Insha ya mjadala

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika insha hati nadhifu.
  • kufanya zoezi
  • Kuandika insha 
  • Zoezi kitabuni mwa mwanafunzi 
  •  Kitabu cha mwanafunzi 134
 
   4  SARUFI   Mnyambuliko wa vitenzi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kunyambua vitenzi katika kauli za kutendeka, kutendesha na kutendeshwa. 
  • Kunyambua vitenzi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi 
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao
  •   Kitabu cha mwanafunzi Uk. 134
 
   5  MSAMIATI   tarakimu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutumia msamiati wa tarakimu kwa usahihi 
  • KutUmia msamiati wa tarakimu
  • Kufanya zoezi -
  • Vifaa halisi,
  • Picha na michoro mbalmbali.
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 135
 
 4  1  KUSIKILIZA NA KUONGEA   Mchezo wa kuigiza 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuigiza mchezo kulingana na maelezo ya mwalimu 
  •  Kusoma
  • Kuunda sentensi
  •  ubao 
  •  Kiswahili kwa darasa la 8: kitabu cha wanafunzi:
  • Kiswahili kitukuzwe( toleo la tatu);uk 124
 
   2  KUSOMA   Ufahamu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kusoma taarifa (Ulaghai) kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. 
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi 
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.  
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk. 139
 
   3  KUANDIKA   Insha 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika insha kulingana na anwani atakayopewa kwa hati nadhifu.
  • Kuratibu vidokezo
  • Kuandika insha
  • Ubao 
  •  Mwalimu atoe anwani.
 
   4  SARUFI   Udogo, wastani, ukubwa wa nomino

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutaja udogo, ukubwa na wastani wa nomino. 
  •  Kuunda sentensi
  • kutambua udogo, wastani na ukubwa wa nomino
  • Kufanya zoezi 
  • ubao
  •   Kitabu cha mwanafunzi Uk. 141
 
   5  MSAMIATI   

Visawe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutumia visawe kuunda sentensi sahihi 

  •  Kujadili maana ya visawe
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi 
  •  ubao
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk. 143
 
 5  1  KUSIKILIZA NA KUONGEA   hotuba 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuigiza hotuba kitabuni kwa ustadi. 

  • Kuuliza na kujibu maswali.
  • Kukamilisha salamu 
  •  Hotuba kitabuni
  •  Kiswahili kwa darasa la 8: kitabu cha wanafunzi:
  • Kiswahili kitukuzwe( toleo la tatu);uk 54
 
   2  KUSOMA   Ufahamu; 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kusoma taarifa(Ajira ya watoto) kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi 
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha mwanafunzi. 
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk. 55
 
   3  KUANDIKA   Insha 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika insha ya hotuba kwa hati nadhifu. -
 
  • Kupanga vidokezo ubaoni
  • Kuandika insha 
  •  -Ubao 
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk. 57
 
   4  SARUFI   Vivumishi vya ‘a’ unganifu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutambua matumizi sahihi ya vivumishi vya ‘a’ unganifu kwa uangalifu. - 
  • Kujadili mada
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi 
  •  ubao 
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk. 58
 
   5  MSAMIATI  

tarakimu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutumia msamiati wa tarakimu kwa usahihi 

  • Kutumia msamiati wa tarakimu
  • Kufanya zoezi 
 
  • Vifaa halisi,Picha na michoro mbalmbali.
 
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 60
 
 6    Mtihani wa kati ya muhula    
 7  1  KUSIKILIZA NA KUONGEA  majadiliano 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kutoa hoja muhimu kuendeleza mjadala kuhusu kuhifadhi mbuga za wanyama 
  • Kutaja vitawe
  • Kuunda sentensi
  • Kuuliza na kujibu maswali.
  •  Ubao 
  • Kiswahili kwa darasa la 8: kitabu cha wanafunzi:
  • Kiswahili kitukuzwe( toleo la tatu);uk 61
 
   2  KUSOMA   Ufahamu; 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kusoma taarifa( hati za mtoto ni zipi?)kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
 
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi 
  • Ubao
  • taarifa katika kitabu cha mwanafunzi. 
 
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 61
 
   3  KUANDIKA   Insha 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika insha kwa hati nadhifu. 
 
  • Kuandika insha
  •  Ubao 
  •  Mwalimu atoe anwani ya insha
 
   4  SARUFI   vielezi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kueleza maana ya vielezi na kutoa mifano katika sentensi 
  • Kueleza maana ya vitenzi,
  • kutoa mifano
  • Kufanya zoezi 
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao 
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 64
 
   5  MSAMIATI   Mekoni 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuutambua msamiati wa mekonina kuutumia kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi 
  • Makala ya magazeti
 
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 68
 
 8  1  MITIHANI YA MAJARIBIO  Jaribio la kwanza 

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika majibu sahihi kwa zoezi la marudio kujitayarisha kwa mtihani kwa kitaifa. 
  • Kufanya zoezi la majaribio
  • kurejelea zoezi na kurekebisha makosa
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Kiswahili kwa darasa la 8: kitabu cha wanafunzi:
  • Kiswahili kitukuzwe( toleo la tatu);uk 161
 
   2  MITIHANI YA MAJARIBIO   Jaribio la pili 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika majibu sahihi kwa zoezi la marudio kujitayarisha kwa mtihani kwa kitaifa. 
    .
 
  • Kufanya zoezi la majaribio
  • kurejelea zoezi na kurekebisha makosa
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
 
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 167
 
   3  MITIHANI YA MAJARIBIO  Jaribio la tatu 

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika majibu sahihi kwa zoezi la marudio kujitayarisha kwa mtihani kwa kitaifa.  
 
  • Kufanya zoezi la majaribio
  • kurejelea zoezi na kurekebisha makosa
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao 
  •  Kitabu cha mwanafunzi uk. 173
 
   4  MITIHANI YA MAJARIBIO  Jaribio la nne 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika majibu sahihi kwa zoezi la marudio kujitayarisha kwa mtihani kwa kitaifa. 
 
  • Kufanya zoezi la majaribio
  • kurejelea zoezi na kurekebisha makosa
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Kitabu cha mwanafunzi Uk. 180
 
   5  MITIHANI YA MAJARIBIO  Jaribio la tano 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kuandika majibu sahihi kwa zoezi la marudio kujitayarisha kwa mtihani kwa kitaifa. 
 
  • Kufanya zoezi la majaribio
  • kurejelea zoezi na kurekebisha makosa
  •  Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  •  Kitabu cha mwanafunzi Uk. 186
 
 9  1  MARUDIO   Kusikiliza na kuongea 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kufanya marudio ya salamu, misemo, methali na mafumbo 
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi 
 
  • Mazoezi ya marudio ubaoni 
 
  • Karatasi za mitihani iliyopita ya KCPE
 
   2  MARUDIO   ufahamu  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua mbinu muafaka za kujibu maswali ya ufahamu    
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi 
  • vitabu mbalimbali vya marudio 
  •  Karatasi za mitihani iliyopita ya KCPE
 
   3  MARUDIO  Uandishi wa insha 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kufahamu mbinu muafaka za uandishi wa insha ya kusisimu 
 
  • Kuandika
  • vitabu mbalimbali vya marudio 
 
  • Karatasi za mitihani iliyopita ya KCPE
 
   4  MARUDIO   Uandishi wa insha 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kujua miundo muafaka ya kuandika insha mbalimbali.   
 
  • Kuandika
 
  • vitabu mbalimbali vya marudio
 
  • Karatasi za mitihani iliyopita ya KCPE
 
   5  MARUDIO   Msamiati 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

  • kujifahamisha misamiati anuwai iliyoisoma kuanzia mwanzo wa mwaka. 
 
  • Kuandika
 
  • vitabu mbalimbali vya marudio 
  • Karatasi za mitihani iliyopita ya KCPE
 
 10 Kurejelea uandishi mbalimbali wa insha kwa kuangalia mitindo, miundo,misamiati,mada nk
 11 Matayarisho ya mtihani wa KCPE kwa kurejelea mada mbalimbali –lugha (darasa la 1 – 8)
 12 MTIHANI WA K.C.P.E
Read 588 times Last modified on Friday, 25 November 2022 06:33

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.