WIKI |
KIPINDI |
MADA KUU |
MADA NDOGO |
SHABAHA |
SHUGHULI ZA MAFUNZO |
NYENZO |
ASILIA |
MAONI |
1 |
1 |
Kusoma |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu. -
- Kujadili somo la awali.
|
- Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
- Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
- Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
- Kuwapa zoezi.
- Kujadili majibu sahihi.
|
- Maelezo ubaoni
Kamusi sanifu
|
|
|
|
2 |
Sarufi |
Matumizi ya “na” |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini matumizi ya ‘na’ na kutunga sentensi zenye matumizi yake.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini matumizi ya ‘na’.
- Kutunga sentensi zenye matumizi ya ‘na’.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha na kufanya marudio.
|
- Maelezo ubaoni
- Vifaa halisi
|
|
|
|
3 |
Kusikiliza na kuongea |
Misemo,Nahau |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kutaja misemo mbalimbali, kutunga nahau na kutunga sentensi zenye misemo na nahau.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini misemo na nahau.
- Kutaja misemo mbalimbali.
- Kutaja nahau mbalimbali.
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
|
4 |
Msamiati |
Akisami |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini akisami na kujadili maswali ya zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini akisami.
- Kutaja akisami mbalimbali.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha na kufanya marudio.
|
|
|
|
|
5 |
Kuandika |
Sentensi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kuandika sentensi sanifu kwa hati nadhifu.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili mahitaji ya hati nadhifu.
- Kuwaelekeza wanafunzi kuandika sentensi faridi.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha na kufanya marudio.
|
|
|
|
2 |
1 |
Kusoma |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
- Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
- Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
- Kuwapa zoezi.
- Kujadili majibu sahihi.
|
|
- Kamusi sanifu
- Kiswahili Mufti uk 242
|
|
|
2 |
Sarufi |
“a” unganifu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kung’amua matumizi ya ‘a’ unganifu, kuitambua katika ngeli mbalimbali na kufanya zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kung’amua matumiz ya ‘a’ unganifu.
- Kuijadili katika ngeli mbalimbali.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha na kufanya marudio.
|
|
|
|
|
3 |
Kusikiliza na kuongea |
Methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kutambua methali mbalimbali na kutunga sentensi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kutambua methali mbalimbali.
- Kukamilisha methali kadhaa.
- Kutunga sentensi zenye methali.
|
|
|
|
|
4 |
Kuandika |
Ushairi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini mashairi mbalimbali, kutambua muundo wa shairi na kujibu maswali ya zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini mashairi mbalimbali.
- Kutambua muundo wa shairi.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha na kufanya marudio.
|
|
|
|
|
5 |
Msamiati |
Teknolojia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini teknolojia, kutambua vifaa vya teknolojia na kung’amua matumizi ya baadhi ya vifaa hivyo.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini teknolojia.
- Kutambua vifaa vya teknolojia.
- Kujadili matumizi ya vifaa hivyo.
|
- Maelezo ubaoni
- Picha mbalimbali
|
|
|
3 |
1 |
Kusoma |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
- Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
- Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
- Kuwapa zoezi.
- Kujadili majibu sahihi.
|
- Maelezo ubaoni
- Kamusi sanifu
|
|
|
|
2 |
Sarufi |
Vielezi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini vielezi, kutambua aina mbalimbali ya vielezi na kutunga sentensi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini maana ya vielezi.
- Kutambua aina mbalimbali.
- Kubaini vielezi katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
|
3 |
Kusikiliza na kuongea |
Sentensi zenye taksiri |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini taksiri na kutunga sentensi zenye taksiri.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini taksiri.
- Kutaja taksiri mbalimbali.
- Kutunga sentensi zenye taksiri.
|
- Maelezo ubaoni
- Vifaa halisi
|
|
|
|
4 |
Kuandika |
Mkato wa maneno |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kung’amua mkato wa maneno na kujibu maswali ya zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kung’amua mkato wa maneno.
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha na kufanya marudio.
|
|
|
|
|
5 |
Msamiati |
Misemo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini misemo kwa kina na kutambua maana ya misemo.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini misemo kwa kina.
- Kutaja misemo mbalimbali.
- Kutambua maana ya misemo.
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
4 |
1 |
Kusoma |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili maneno magumu na matumizi yake
- Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
- Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
- Kuwapa zoezi.
- Kujadili majibu sahihi.
|
- Maelezo ubaon
- Kamusi sanifu
|
|
|
|
2 |
Sarufi |
Matumizi ya “katika ” ni |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kung’amua matumizi ya‘katika’ ‘ni’ ‘kwenye’ na kujibu maswali ya zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kung’amua matumizi ya‘katika’ ‘ni’ ‘kwenye’ kwa usanifu
- Kufanya zoezi.
- Kusahihisha na kufanya marudio.
|
- Maelezo ubaoni
- Vifaa halisi
|
|
|
|
3 |
Kusikiliza na kuongea |
Maamkizi vitawe |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maamkizi katika nyakati mbalimbali na kutaja maana ya vitawe.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili maamkizi katika nyakati mbalimbali.
- Kutaja vitawe na maana mbalimbali.
- Kujadili vitawe.
|
- Maelezo ubaoni
- Kamusi sanif
- Bango la visawe, vitate na vitawe
|
- Kiswahili Mufti uk 267-268
|
|
|
4 |
Kuandika |
Insha |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kuandika insha ya kusisimua
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili kauni za uandishi.
- Kuandika insha ya kusisimua.
|
|
|
|
|
5 |
Msamiati |
Misemo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini misemo kwa kina na kutambua maana ya misemo.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini misemo kwa kina.
- Kutaja misemo mbalimbali.
- Kutambua maana ya misemo
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
5 |
1 |
Kusoma |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maneno magumu na matumizi yake,
- Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
- Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
- Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
- Kuwapa zoezi.
- Kujadili majibu sahihi.
|
- Maelezo ubaoni
- Kamusi sanifu
|
|
|
|
2 |
Sarufi |
Viulizi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini viulizi mbalimbali na kufanya zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini maana ya kiulizi.
- Kutaja viulizi mbalimbali.
- Kutunga sentensi zenye viulizi.
- Kufanya zoezi.
|
- Maelezo ubaoni
- Vifaa halisi
|
|
|
|
3 |
Kusikiliza na kuongea |
Kiambishi “ki” |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maana ya kiambishi nakutunga sentensi zenye kiambishi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini maana ya kiambishi.
- Kutunga sentensi zenye kiambishi.
- Kujadili sentensi hizo.
|
|
|
|
|
4 |
Kuandika |
Sentensi zenye vivumishi sahihi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kutaja vivumishi mbalimbali na kufanya zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kutaja vivumishi mbalimbali.
- Kubaini muundo wa vivumishi katika sentensi.
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
|
5 |
Msamiati |
Madini vito |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini madini na vito na kutaja baadhi yazo.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini madini na ivito.
- Kutaja baadhi ya madini na ivito.
- Kujibu maswali ya zoezi.
|
|
|
|
6 |
1 |
Kusoma |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
- Kuwateuwa wanafunzi wasome kwa zamu.
- Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
- Kuwapa zoezi.
- Kujadili majibu sahihi.
|
|
|
|
|
2 |
Sarufi |
Mnyambuliko wa vitezi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kunyambua vitenzi katika hali ya kutendeka, kutendesha na kutendeshwa. -
|
- Kujadili somo la awali.
- Kunyambua vitenzi katika kauli zilizotolewa.
- Kufanya zoezi.
|
- Maelezo ubaoni
- Vifaa halisi
|
- Kiswahili Mufti uk 285-287
|
|
|
3 |
Kusikiliza na kuongea |
Vitawe |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini vitawe na kukamilisha zoezi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini vitawe.
- Kutaja vitawe mbalimbali.
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
|
4 |
Kuandika |
Maelezo na mpangilio wa sentensi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kuandika hati nadhifu na kuakifisha sentensi ifaavyo.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili mahitaji ya hati nadhifu.
- Kujadili uakifishaji wa sentensi.
- Kuandika sentensi zenye maendeleo shwari.
- Kufanya zoezi.
|
|
|
|
|
5 |
Msamiati |
Wizara mbalimbali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini wizara na kutaja wizara mbalimbali.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini wizara.
- Kutaja wizara mbalimbali.
- Kung’amua kazi za wizara mbalimbali.
- Kujadili msamiati kwa jumla.
|
|
|
|
7 |
1 |
Kusoma |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini maneno magumu na matumizi yake,
- Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
- Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
- Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
- Kuwapa zoezi.
- Kujadili majibu sahihi.
|
- Maelezo ubaoni
- Kamusi sanifu
|
|
|
|
2 |
Sarufi |
Ukubwa na udugo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kutambua ukubwa na udogo wa nomino mbalimbali.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili nomino katika hali ya wastawi na ukubwa.
- Kutambua udogo wa nomino mbalimbali.
- Kufanya zoezi.
|
- Maelezo ubaoni
- Vifaa halisi
|
|
|
|
3 |
Kusikiliza na kuongea |
Hotuba |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini muundo wa hotuba na kuhutubia hotuba fupifupi.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini muundo wa hotuba.
- Kuwaelekeza wanafunzi kuhutubia hotuba fupi fupi.
- Kujadili muundo wa hotuba.
|
|
|
|
|
4 |
Kuandika |
Insha |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kuandika insha ya kusisimua kwa kufuata maagizo.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kujadili kauni za uandishi.
- Kuandika insha ya kusisimua.
|
|
|
|
|
5 |
Msamiati |
Ukoo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
- Kubaini ukoo na kutambua majina mbalimbali ya ukoo.
|
- Kujadili somo la awali.
- Kubaini ukoo
- Kutambua majina ya ukoo.
- Kujadili maswali ya zoezi.
|
- Maelezo ubaoni
- Kamusi sanifu
|
|
|
8 |
MAREJELEO NA MAJARIBIO YA MTIHANI |