Kiswahili (Mufti) - Class 8 Schemes of Work Term 2 2023

Rate this item
(0 votes)
WIKI KIPINDI FUNZO MADA SHABAHA SHUGHULI ZA MAFUNZO NYENZO ASILIA MAONI
 1    -  MARUDIO

Mada mbalimbali

  • sarufi, misamiati, kusikiliza na kuongea.
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyakumbuka aliyoyapitia katika muhula wa kwanza ili kujitayarisha kwa kazi ya muhula wa pili
  • Kuuliza na kujibu maswali ya kauli naya kimaandishi.
  • Kurejelea mitihani mbalimbali
Ubao
Karatasi za mitihani iliyopita

Kiswahili mufti darasa la 8Kitabu cha mwanafunzi 1-100

 

 
 2       1 KUSIKILIZA NA KUONGEA   Hadithi  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujibu maswali kwa usahihi kutokana na hadithi kitabuni mwa wanafunzi.
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • kusoma
  • Ubao
  • hadithi kitabuni mwa wanafunzi..
Wallah bin Wallah (2015 toleo jipya)Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk. 108  
  2 KUSOMA    Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
Kitabu cha mwanafunzi Uk 103 - 105
-Muongozo uk.
 
  3 KUANDIKA   Zoezi la kimaandishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia vitenzi kutokana na nomino kwa usahihi.
  • kujadiliana kuhusu mad
  • Kufanya zoezi
 Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 110
Muongozo uk.
 
  4 SARUFI   Viambishi ngeli
(neli ya U- U)
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
  • kutambua matumizi sahihi ya viambishi ngeli katika sarufi.
  • Kutunga sentensi sahihi
  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 106

Muongozo uk.

 
  5 MSAMIATI Nomino ambata Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuitambua misamiati wa nominoambata na kuutumia kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili misamiati Kuunda sentensi
  • kutaja visawe
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Michoro
  • bango
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 111  
  3    1  KUSIKILIZA NA KUONGEA   Vitate Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua vitate na kuvitumia kuuda sentensi sahihi.
  • kueleza aina za maneno
  • Kutaja vitate
  • Kuuliza na kujibu maswali.
  •  Ubao
Wallah bin Wallah (2015 toleo jipya)Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk
118
 
 2  KUSOMA   Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ufahamu kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.
 Kitabu cha mwanafunzi Uk. 113
Muongozo uk.
 
 3  KUANDIKA   Insha Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insah ya mjadala kwa kuzingatia hati nadhifu , maudhui na msamiati sahihi.
  • Kutoa maelezo
  • kuandika insha
 Vidokezo ubaoni  Kitabu cha mwanafunzi uk. 120
Muongozo uk.
 
 4  SARUFI  Viambishi ngeli
(ngeli ya KU-KU)
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua viambishi ngeli (KU-KU) na kutunga sentensi sahihi.
  • Kunda sentensi
  • Kujadili mad
  • Kufanya zoezi
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 116  
 5  MSAMIATI   Sayari Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa sayari na kutunga sentensi sahihi akitumia msamiati huo.
  • Kutaja msamiati wa sayari
  • Kufanya zoezi
  • Picha na michoro mbalmbali.
Kitabu cha mwanafunzi Uk120
Muongozo uk.
 
  4   1 KUSIKILIZA NA KUONGEA Methali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kukamilisha methali na kutoa maana ya methali atakazotajiwa.
  • Kusoma
  • Kukamilisha methali
  • Kutoa maana ya methali
Ubao Wallah bin Wallah (2015 toleo jipya)Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk129  
  2  KUSOMA Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 124
Muongozo uk.
 
  3 KUANDIKA Sentensi 
  • Kutendeshwa na kutendeka
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika sentensi sahihi katika hali ya kutendeshwa na kutendeka.
  • Kutoa maelezo
  • Kufanya zoezi
 Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 124  
  4 SARUFI   Viambishi ngeli 
(ngeli ya I-I)
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua aina za viambishi ngeli katika ngeli ya I-I.
  • Kuunda sentensi
  • kutambua aina za viambishi
  • Kufanya zoezi
  Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 126  
  5 MSAMIATI  Mali asisli Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa mali asili.
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  • ubao
   Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 130
Muongozo uk.
 
  5   1 KUSIKILIZA NA KUONGEA Watu mbali mbali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja majina ya watu wenye hali mbalimbali.
  • Kuuliza na kujibu maswali.
  • Kutaja majina ya watu.
  Ubao Wallah bin Wallah (2015 toleo jipya)Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk141  
  2 KUSOMA Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 134
Muongozo uk.
 
  3 KUANDIKA Insha ya maelezo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kusisimua kwa hati nadhifu.
  • Kuunda vidokezo.
  • Kuandika insha
  Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 142
Muongozo uk.
 
  4 SARUFI Viambishi ngeli
( ngeli ya PA-KU-MU)
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua aina za viambishi ngeli katika ngeli ya (PA-KU-MU)
  • Kujadili mada
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 137  
  5 MSAMIATI  Tarakimu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua tarakimu na kutumia kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati 
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 142
Muongozo uk.
 
  6   1 KUSIKILIZA NA KUONGEA   Tafsida Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kwa kutoa mifano sahihi jinsi maneno ya tafsida yanavyotumika katika kudumisha adabu na heshima.
  • kutoa maelezo
  • kutoa mifano ya tafsida
  • kufanya maelezo

 

 Ubao Wallah bin Wallah (2015 toleo jipya)Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk150  
  2 KUSOMA   Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 144
Muongozo uk.
 
  3 KUANDIKA Insha ya mazungumzo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mazungumza kwa hati nadhifu
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
 Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk.151
Muongozo uk.
 
  4 SARUFI   Vihisishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua vihisishi na kuvitumia kutunga sentensi sahihi.
  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
 jedwali

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 147
Muongozo uk.

 

 
  5 MSAMIATI  Mali asili Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa mali asili na kuvitumia kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • kamusi
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 151
Muongozo uk.
 
  7       1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Sentensi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kukosoa sentensi na kuzisema kwa lugha sanifu.
  • Kuunda sentensi
  • kukosoa sentensi
  • Kuuliza na kujibu maswali.
Ubao

Wallah bin Wallah (2015 toleo jipya)Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk160

 

 
  2 KUSOMA   Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 155
Muongozo uk.
 
  3 KUANDIKA   Kukanusha Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kukanusha sentensi kwa hati nadhifu.
  • Kukanusha sentensi,
  • Kufanya zoezi
  Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk.161  
  4 SARUFI   Viunganishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua viambishi ngeli vya U-YA kutunga sentensi sahihi.
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 159
Muongozo uk.

 

 
  5 MSAMIATI  Viumbe vya kike na kiume Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuutambua msamiati wa viumbe vya kike na kiume na kuutumia kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  • Picha na michoro mbalmbali
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 161
Muongozo uk.
 
  8       1  KUSIKILIZA NA KUONGEA   Kutunga sentensi  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutunga na kutamka sentensi akitumia vitate kwa ufasaha.
  • Kutaja methali
  • Kuuliza na kujibu maswali
  Ubao  Wallah bin Wallah: Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk. 168
Muongozo uk.
 
  2  KUSOMA  Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha mwanafunzi
 Kitabu cha mwanafunzi Uk. 164
Muongozo uk
 
  3  KUANDIKA  Barua Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa hati nadhifu.  Kuandika barua rasmi.
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • Ubao

Kitabu cha mwanafunzi uk. 168
Muongozo uk.

 

 
  4  SARUFI  Vielezi vya mkazo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua vielezi vya mkazo na kuvitumia kutunga sentensi sahihi..
  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
 Ubao Kitabu cha mwanafunzi Uk. 167  
  5  MSAMIATI  Nomino za makundi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuutambua msamiati wa nomino za makundi na kuutumia kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  • ubao
  • picha na michoro
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 171
Muongozo uk.
 
 9    1  KUSIKILIZA NA KUONGEA  Michezo mbali mbali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza jinsi michezo mbalimbali inavyochezwa.
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
 Makala mbalimbali Wallah bin Wallah: Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk. 178
Muongozo uk.
 
  2   KUSOMA  Ufahamu  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
 Kitabu cha mwanafunzi Uk. 174  
  3  KUANDIKA  Insha Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa mahadhi na kujibu maswali kutokana na shairi lenyewe.
  • Kujadili shairi
  • Kufanya zoezi
Shairi kitabuni mwa wanafunzi Kitabu cha mwanafunzi Uk.180
Muongozo uk.
 
  4  SARUFI Ngeli pamoja na kirejeshi - amba Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia ngeli pamoja na kirejeshi amba kutunga sentensi sahihi..
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  • Kutunga sentensi
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi Kitabu cha mwanafunzi Uk. 176  
  5  MSAMIATI  Visawe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa visawe na kuutumia kutunga sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi Kitabu cha mwanafunzi Uk.
Muongozo uk.183
 
 10   1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Virejeshi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutunga sentensi sahihi akitumia virejeshi; amba- , kirejeshi ‘o’ cha awali na tamati. -Kujadili mada
-Kufanya zoezi
-Kutunga sentensi
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi Wallah bin Wallah: Kiswahili mufti darasa la 8 Kitabu cha mwanafunzi Uk.
Muongozo uk.187
 
  2 KUSOMA  Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 184  
  3 KUANDIKA  Insha ya kumbukumbu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kumbukumbu kwa kuzingatia mada kwa hati nadhifu.
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  • kutunga shairi
Vidokezo ubaoni

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 188
Muongozo uk.

 

 
  4 SARUFI  Usemi halisi na usemi taarifa Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika sentensi katika usemi wa taarifa kutoka kwa usemi halisi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  • Kutunga sentensi
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi Kitabu cha mwanafunzi Uk. 186  
  5 MSAMIATI Matunda na mimea Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa matunda na mimea kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi Kitabu cha mwanafunzi Uk.
Muongozo uk.194
 
 11                                                     MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
Read 478 times Last modified on Wednesday, 23 November 2022 12:45

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.