RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI DARASA LA NANE MUHULA PILI – 2023
WK |
KIP |
FUNZO |
MADA |
SHABAHA |
SHUGHULI ZA MAFUNZO |
NYENZO |
ASILIA |
MAONI |
|||
1 |
|
MARUDIO |
Mada mbalimbali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia aliyoyapitia katika muhula wa kwanza ili kujitayarisha kwa kazi ya muhula wa pili |
|
|
Vitabu mbalimbali vya marudio. |
|
|||
2
|
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mahojiano |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia maneno ya adabu na heshima kwa njia sahihi |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu)uk. 69 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Panga |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
,, Uk. 70 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya kimalizio |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kimalizio kwa hati nadhifu |
|
|
Uk. 72 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Viulizi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia viulizi vya viambishi ngeli kwa kutunga sentensi sahihi |
|
|
Uk. 72 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Vitawe |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa vitawe kwa kuunda sentensi sahihi na kujibu maswali |
|
|
Uk. 75 |
|
||||
3 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Sentensi zenye miundo mbalimbali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na kutoa mifano ya aina za sentensi mbalimbali |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 76 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu: Moto |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk 78 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya masimulizi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuvutia kwa hati nadhifu |
|
|
Uk 80 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Matumizi ya katika, ni na kwenye |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maatumizi sahihi ya ni, katika, na kwenye. |
|
|
Uk 80 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Teknologia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa teknologia kwa kutunga sentensi sahihi . |
|
|
Uk 82 |
|
||||
4 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Taarifa mbalimbali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kusikiliza taarifa mbalimbali, kutaja maudhui. Na kutaja msamiati uliotumika |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 84 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Maktaba |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma makala mbalimbali na kujibu maswali kwa usahihi. |
|
|
Vitabu kutoka maktaba |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali kwa hati nadhifu |
|
|
Uk. 84 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Kauli ya kutendeka |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutunga sentensi sahihi akitumia maneno katika hali ya kutendeka |
|
|
Uk. 85 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Ukoo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa ukoo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 86 |
|
||||
5 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutoa mifsno ya mithali na visawe vya methali hiyo |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi:kiswaili kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 87 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
shairi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kukariri shairi dawa za kulevya kwa sauti murua. |
|
|
UK. 88 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya kumbukumbu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kumbukumbu kulingana na mpangilio muafaka |
|
|
Uk. 90 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Udogo, wastani na ukubwa wa nomino |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika sentensi atakazopewa katika udogo, wastani na ukubwa |
|
|
Uk. 91 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
viwandani |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja vifaa na matumizi ya baadhi ya vyombo vya viwandani |
|
|
Uk. 93 |
|
||||
6 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Misemo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutao mifano ya misemo na maana yake |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 94 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu: Kazi ni kazi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 95 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya mazungumzo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mazungumzo kwa hati nadhifu |
|
|
Uk. 97 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Usemi halisi na usemi wa kawaida |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa |
|
|
Uk. 98 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Matunda |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina ya matunda na kutumia msamiati wa matunda kutunga sentensi. |
|
|
Uk. 99 |
|
||||
7 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
vitendawili |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua viendawili kwa ustadi |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.100 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu; Uanaskauti |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk.101 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya masimulizi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa hati nadhifu. |
|
|
Uk. 102 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Matumizi ya ‘na’ |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja matumizi sahihi ya “na” |
|
|
Uk. 102 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Mimea |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja majina ya mimea mbalimbali na idara zake katika serikali. |
|
|
Uk. 105 |
|
||||
8 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Majadiliano |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja hoja muafaka kwenye mjadala kuhusu haki na usawa wa jinsia. |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 106 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Matatu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifai kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 107 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya kuendeleza |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuendeleza kwa hati nadhifu. |
|
|
Uk.108 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Kauli ya kutendesha |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika vitenzi katika kauli ya kutendesha kwa usahihi |
|
|
Uk. 109 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Viumbe vya kike na kiume |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa viumbe vya kike na kiume na kuutumia kuunda sentensi sahihi. |
|
|
Uk. 111 |
|
||||
9 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Taarifa: Hotuba ya mfamasia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza kwa makini taarifa itakayosomwa na kujibu maswali ya kauli kwa usahihi |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 54 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Hotuba Elimu ni ufunguo wa maisha |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma hotuba kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye hotuba hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk.113 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya mazungumzo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mazungumzo a kulingana na muundu ufaao. |
|
|
Uk. 114 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Usemi halisi na usemi wa taaarif0a |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa |
|
|
Uk.114 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Nomino za makundi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuendelea kupanua kiwango chake cha msamiati kwa kutumia ipasavyo nomino za makundi |
|
|
Uk. 117 |
|
||||
10 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Shairi Hongera Bi Maathai |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kukariri shairi kwa mahadhi |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk119 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Maktaba |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma majarida mbalimbali na kujibu maswali kwa usahihi. |
|
|
Majarida kutoka maktaba |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya kumalizia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kumalizia kwa hati nadhifu |
|
|
Uk. 121 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Kauli ya kutendeshwa |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika vitenzi katika kauli ya kutendeshwa kwa usahihi |
|
|
Uk. 121 |
|
||||
5 |
MSAMIATI |
Vitate |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa vitate kwa kuunda sentensi sahihi na kujibu maswali |
|
|
Uk. 75 |
|
||||
11 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
|