Displaying items by tag: Sanifu
Kiswahili (Sanifu) - Class 8 Schemes of Work Term 2 2023
RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI DARASA LA NANE MUHULA PILI –2023
WK |
KIP |
FUNZO |
MADA |
SHABAHA |
SHUGHULI ZA MAFUNZO |
NYENZO |
ASILIA |
MAONI |
|||
1 |
|
MARUDIO |
Mada mbalimbali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia aliyoyapitia katika darasa la saba ili kujitayarisha kwa kazi ya muhula wa pili |
|
Karatasi za mitihani iliyopita |
Vitabu mbalimbali vya marudio. |
|
|||
2
|
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Msamiati wa teknologia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza msamiati wa teknologia Kuabainisha matumizi na kufafanua faida za vifaa vya teknologia |
|
picha za vifaa mbalimbali vya teknologia |
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk. 88 Mwongozo uk. 61 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Uchungu wa mwana |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi. |
,, Uk. 89 Mwongozo uk.62 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kujadili kwa kutetea hoja kwa usahihi. |
|
vidokezo Ubaoni |
Uk. 91 Mwongozo uk.64 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Matumizi ya ‘na’ |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha matumizi mbalimbali ya ‘na’ kutumia ‘na’ katika sentensi kwa usahihi |
|
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
|
Uk. 90 Mwongozo uk.63 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Misemo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana na matumizi ya misemo Kutumia misemo kuunda sentensi sahihi |
|
chati yenye mifano ya misemo |
Uk. 62 Mwongozo uk.90 |
|
||||
3 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Msamiati wa ukoo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya msamiati wa ukoo kutumia msamiati wa ukoo kwa usahihi |
|
Uhusika wa wanafunzi maelezo kitabuni |
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk.92 Mwongozo uk 65 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu: Sijafisha |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
Taarifa kitabuni mwa wanafunzi.
|
Uk 93 Mwongozo uk. 66 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya maelezo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuvutia kwa hati nadhifu |
|
Vidokezo ubaoni |
Uk 96 Mwongozo uk.68 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Matumizi ya ndi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maatumizi sahihi ya ‘ndi’ katika ngeli zote |
|
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi |
Uk 95 Mwongozo uk.67 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana na matumizi ya methali zenye mzizi ‘ndi’ |
|
kamusi ya methali.
|
Uk 67 Mwongozo uk.94 |
|
||||
4 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
viwanda |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja baadhi ya viwanda vyetu nchini kueleza aina za bidhaa kwenye viwanda hivyo |
|
Uhusika wa wanafunzi Picha na michoro |
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk. 104 Mwongozo 70 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Kazi ya mikono haitupi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
makala na vitabu mbalimbali. |
Vitabu kutoka maktaba |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Mtungo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza pengo akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi |
|
Maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi:. 109 Mwongozo uk. 73 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Vielezi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana ya vielezi, Kufafanua aina mbalimbali za vielezi |
|
Maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi: 107 Mwongozo uk.73 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainishi maana na matumizi ya methali |
|
Chati yenye methali zinazifanana |
Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 107 Mwongozo uk.72 |
|
||||
5 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Matunda miti na mimea |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha aina mbalimbali za matunda miti na mimea kutumia msamiati wa matunda mimea na miti kwa usahihi |
|
Picha na michoro
|
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk. 110 Mwongozo uk74 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Mwandani wetu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma Taarifa kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
|
Taarifa kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi:UK. 111 Mwongozo uk.76 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya maelezo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kulingana na mpangilio muafaka |
|
Vidokezo ubaoni |
Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 115 Mwongozo uk.79 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Viulizi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana ya viulizi kubainisha aina za viulizi kutumia viulizi kuunda sentensi sahihi |
|
maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 113 Mwongozo uk.78 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Vitawe |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze :kueleza maana ya vitawe kubainisha vitawe vitawe kuunda sentensi sahihi |
|
kamusi |
Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 112 Mwongozo uk.77 |
|
||||
6 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Vitabu vya maktaba |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: kustawisha usomaji wa vitabu vya ziada kujadili alichokisoma |
|
vitabu vya hadithi kutoka maktaba |
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk 122 Mwongozo 81. |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu: Tazungukaje mbuyu? |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa ufasaha na kujibu maswali kutoka kwenye shairi hilo kwa usahihi. |
|
shairi katika kitabu cha wanafunzi. |
Kitabu cha mwanafunzi: 122 Mwongozo uk.82 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha Mtungo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kwa kuendeleza hoja kwa mtiririko |
|
vidokezo ubaoni |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 125 Mwongozo uk. 85 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Matumizi ya ‘katika’, na ‘ni’ na ‘kwenye’ |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze; kubainisha matumizi sahihi ya katika, kwenye, ni kurekebisha makosa ya kisarufi kutokana na matumizi mabovu ya katika, kwenye, ni |
|
Mifano ubaoni maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 124 Mwongozo uk.83 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
vitendawili |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili kwa ustadi. |
|
uhusika wa wanafunzi. |
Kitabu cha mwanafunzi Uk.124 Mwongozo uk.82 |
|
||||
7 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Miti na mimea |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha msamiati wa mimea kufafanua faida za miti na mimea |
|
Picha na michoro ya miti na mimea |
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk. 126 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu; Mstahmilivu hula mbivu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
Picha na makala katika kitabu cha mwanafunzi. |
Kitabu cha mwanafunzi uk. 127 Mwongozo uk. 86 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya wasifu Mekatilili |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya wasifu kuhusu mtu mashuhuri kwa hati nadhifu |
|
vidokezo ubaoni |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 131 Mwongozo uk. 89 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Ukubwa wa nomino |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha nomino kwa kuiweka katika hali ya ukubwa |
|
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi mifano ubaoni |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 130 Mwongozo uk. 87 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Vitate |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: kubainisha vitate kutumia vitate katika sentensi kwa usahihi |
|
Mifano ubaoni na kwenye kitabu |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 129 Mwongozo uk. 87 |
|
||||
8 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Majina ya kike na kiume |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: Kubainisha msamiti wa kike na kiume |
|
Uhusika wa wanafunzi |
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk138 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Mjadala: Wanafaa kusoma pamoja |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kwa ufasaha kujadili funzo la makala kutumia msamiati mpya kwa usahihi |
|
taarifa kitabuni mwa wanafunzi. |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 139 Mwongozo uk.92 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya mjadala |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mjadala kwa hati nadhifu. |
|
Vidokezo ubaoni |
Kitabu cha mwanafunzi Uk.143 Mwongozo uk.94 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Udogo wa nomino |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha nomino kwa kuiweka katika hali ya udogo |
|
mifano ubaoni Na kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 141 Mwongozo uk.93 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Visawe |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: kubainisha visawe kutumia visawe katika sentensi kwa usahihi |
|
Mifano ubaoni na kwenye kitabu |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 140 Mwongozo uk.92 |
|
||||
9 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Msamiati wa majina ya wafanyikazi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja majina ya wafanyikazi mbalimbali na kazi zao |
|
Makala kitabuni |
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005) uk. 144 Mwongozo uk. 96 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Hotuba Uhaba wa kazi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ngojera kwa ufasaha kukariri na kuigiza ngonjera kwa mahadhi kujibu maswali ya ufahamu kimaandishi |
|
shairi katika kitabu cha wanafunzi. |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 144 Mwongozo uk.97 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya maelezo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kulingana na muundu ufaao. |
|
Vidokezo ubaoni |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 147 Mwongozo uk.99 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Usemi wa taarifa |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi hadi usemi wa taarifa |
|
Mifano ubaoni maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 146 Mwongozo uk.98 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Shairi: Nitafanya kazi gani? |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze :Kukariri shairi kwa mahadhi mazuri kujadili funzo na msamiati uliotumika katika shairi |
|
shairii katika kitabu cha mwanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 146 Mwongozo uk.97 |
|
||||
10 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mihadarati |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufafanua athari za mihadrati Kutaja baadhi ya tabia na sifa za wanaotumia mihadarati |
|
Picha na michoro mbalimbali
|
KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi: (Toleo Jipya 2005)uk. 154 Mwongozo uk.100 |
|
|||
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Sibagaumi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kwa ufasaha kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi |
|
makala kitabuni. |
Kisw. Sanifu 8 uk. 155 Mwoongozo uk. 103 |
|
||||
3 |
KUANDIKA |
Insha ya mazungumzo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mazungumzo kwa hati nadhifu |
|
Vidokezo ubaoni
|
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 157 Mwongozo uk.104 |
|
||||
4 |
SARUFI |
Usemi halisi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa taarifa hadi usemi halisi |
|
Mifano ubaoni maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 103 Mwongozo uk.157 |
|
||||
5 |
MAPAMBO YA LUGHA |
Misemo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:kubainisha maana ya misemo, Kutoa mifano ya misemo kuunda sentensi sahihi akitumia misemo |
|
chati yenye mifano ya misemo |
Kitabu cha mwanafunzi Uk. 156 Mwongozo uk.103 |
|
||||
11 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |