TEACHER'S SCORING GUIDE:
ASSESSMENT RUBRICS
Kuzidisha matarajio | Kufikia matarajio |
Kukaribia matarajio | Mbali na matarajio |
SEHEMU YA 3: UFAHAMU
Soma hadithi ifwatayo kish ujibu maswali
Mbuzi mmoja aliataka kuwa simba. Alianza kujifunza kunguruma kama simba. Mbuzi wengine walianza kumwogopa. Wakamuuliza. ''Kwa nini sauti yako inatisha?'' Aliwajibu mimi ni simba. Mimi si mbuzi kama nyinyi.
- Mbuzi ana miguu mingapi? ______ (2, 4, 6)
- Mbuzi alitaka awe kama? ______
- Chora na upake rangi mbuzi
- Sauti ya mbuzi ilikuwa kam ya? _____
- Mbuzi hula?______
SEHEMU YA NEE: SARUFI
Andika kwa herufi ndogo
- KITABU
- NGUO
Andika kinyume
- chini
- keti
Jaza pengo kwa jina halisi
- Visu hivi ni _______ (chao,vyao)
- _______ ni mwalimu wetu. (hawa,huyu)
Andika majina
Andika kwa maneno au nambari
- Tisa ______
- Kumi na nane_____
- 17 _______
Jaza pengo
- Jua leo ni ______ (baridi, moto)
- Maji ya mtungi ni______ (baridi, moto)
Andika 'chini ya', 'juu ya', 'ndani ya'
- Maziwa iko _____ ya glesi.
- Mpira iko ______ ya meza.
Andika kwa wingi
- Mkono _____
- Kisu _____
- Mkate ______
Kamlisha sentesi zifwatazo
- Jina langu ni _______
- Niko katika gredi ya ______
- Mwalimu mkuu wetu anaitwa _______
SEHEMU YA TANO: KUANDIKA
IMLA
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA
- 4
- simba
- Kuzingatiwa na mwalimu
- simba
- matawi
- kitabu
- nguo
- juu
- simama
- vyao
- huyu
- mti
- mpira
- 9
- 18
- kumi na saba
- moto
- baridi
- ndani ya
- juu ya
- mikono
- visu
- mikate
- Kuzingatiwa na mwalimu
- kwanza
- Kuzingatiwa na mwalimu
KUANDIKA IMLA
Kuzingatiwa na mwalimu
Download Shuguli za Kiswahili Maswali na Majibu - Grade 1 End Term 3 Exams 2023 Set 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students