Thursday, 03 August 2023 08:20

Shughuli za Kiswahili Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma kwa Sauti Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 2 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA        (Alama 5)

  1. Mwalimu amwamkue mwanafunzi kisha amuulize maswali. Naye mwanafunzi ayajibu kwa lugha ya Kiswahili.
    1. Taja vitu viwili ambavyo ni hatari kuchezea   (alama 2)
                                                                                (Mwanafunzi ajibu)
    2. Taja mahali ambapo ni hatari kuchezea.   (alama 2)
                                                                                 (Mwanafunzi ajibu)
    3. Ni salama kutumia _______ unapotaka kuvuka mto. (alama 1)
      (ngazi, daraja) 
                                                        (Mwanafunzi ajibu)

  2. KUSOMA KWA SAUTI          (Alama 10)
     Soma hadithi hii kwa sauti    

    Grade2kiswahiliet22023Q2
    Nyumba yetu ni nzuri sana. Ina mlango wa rangi ya samawati. Ina madirisha ya vioo. Tumepanda nyasi za kupendeza. Nipo nyumbani peke yangu. Ninacheza mchezo wa kuvuka kamba. Nipo nje ya nyumba yetu. Nimemwona mnyama. Amesimama karibu na mlango. Mnyama huyu anaitwa panya. Panya huishi mashimoni. Mama aliniambia panya ni watundu na wachafu. Siwapendi wanyama hao.

MPANGO WA KUASHIRIA

  1.  
    1. moto, kisu
    2. jikoni, hospitalini
    3. daraja
  2. Kuongozwa na mwalimu.

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma kwa Sauti Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 2 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.