Maswali
KUZIDI MATARAJIO | KUFIKIA MATARAJIO | KUKARIBIA MATARAJIO | MBALI NA MATARAJIO | |
KUSOMA | (Alama 11-12) | (Alama 8-10) | (Alama 5-7) | (Alama 0-4) |
Anaweza kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali mengi/yote kwa usahihi . |
Anaweza kujibu maswali vizuri kama anavyoulizwa. |
Anaweza kujibu maswali kiasi cha haja kama anavyoulizwa. |
Anaonekana kulemewa na kujibu maswali ya ufahamu. Anahitaji mwongozo zaidi. |
|
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
(Alama 7-8) | (Alama 5-6) | (Alama 3-4) | (alama 0-2) |
Anaweza kujibu maswali mengi/yote kulingana na maagizo aliyopewa. Anajibu vyema kuhusu mada lengwa. |
Anajibu maswali kiasi kizuri kulingana na maagizo. Anajibu vyema kulingana na mada lengwa. |
Anajibu maswali kiasi cha haja kulingana na maagizo.Hata hivyo baadhi ya mada zinamlemea. Anahitaji mazoezi zaidi. |
Anahitaji mwongozo wa mwalimu ili kuelewa mada lengwa |
|
SARUFI | (Alama 18-20) | (Alama 15-17) | (Alama 10-14) | (Alama 0-9) |
Anaweza kujibu maswali mengi/yote kwa usahihi akizingatia kiasheria za sarufi ya lugha. |
Anaweza kujibu maswali kiasi vizuri kwa usahihi akizingatia sheria za sarufi ya lugha. |
Anajaribu kujibu maswali kiasi cha haja. Anajaribu kuzingatia sarufi ya lugha. Mazoezi zaidi yanapendekezwa |
Anahitaji mwongozo zaidi ili kuelewa mada mbalimbali |
|
KUANDIKA | (Alama 9-10) | (Alama 7-8) | (Alama 5-6) | (Alama 0-4) |
Anaandika kwa usahihi akizingatia msamiati sahihi na kuakifisha vyema. Anathibitisha umilisi wa lugha. |
Anaandika kwa kutosheleza mahitaji mengi ya uandishi. Anajaribu kuonyesha umilisi wa lugha. |
Anaonekana kuandika akilenga mada aliyopewa. Anahitaji mazoezi zaidi kujiimarisha kazi imepangwa vyema. |
Anahitaji mwongozo na mazoezi mengi. Anapanga kazi kwa mpangilio usiokubalika. |
SEHEMU YA 1 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Sikiliza kwa makini hadithi utakayosomewa na mwalimu wake kisha ujibu maswali utakavyoelezwa na mwalimu.
Hapo zamani Papa alifanya urafiki na Popo. Siku moja Popo alikutana na Papa karibu na bahari iii aende kumtembelea anakoishi baharini. Papa
alikubali.
- Papa na Popo walikuwa?
____________________________________ - Papa allishi wapi?
____________________________________ - Popo alitoka kwenda wapi?
____________________________________
SEHEMU YA 2: KUSOMA
Soma kifungu hizi kwa sauti.
Ami yangu ni mkulima hodari, aria shamba kubwa sans. Yeye hupanda mimea na kufuga wanyama wa nyumbani. Amegawa shamba lake katika
sehemu tatu. Sehemu ya kwanza ni ya ng'ombe na kondoo. Sehemu ya pili ni ya mahindi, maharagwe na mboga. Sehemu ya tatu ni yo matunda.
Maakizo
- marafiki
- baharini
- kwa papa/ pahali papa anapoishi.
Download Kusoma Activities Questions and Answers - CBC Grade 3 End of Term 1 Set 1 2022.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students