SEHEMU YA 3: UFAHAMU
Soma hadithi kisha ujibu mswali
Baba yangu anaitwa Suleimani ni mwalimu. Yeye hufundisha katika shule ya msingi ya Msamaria. Baba huenda shuleni siku ya Jumatatu hadi Ijumaa. Kisha Jumamosi baba hufanya vibarua vya hapa na pale. Baba ni mchapakazi.
Maswali
- Baba ni
- Anafunza katika shule gani?
- Baba huenda wapi siku ya Jumatatu hadi Ijumaa?
- Baba anaitwa?
- Jina mchapakazi lina maana gani?
SEHEMU YA 4: SARUFI
Tumia yeye, wao na nyinyi
- wataenda shuleni
- . ni mwanafunzi wa gredi ya tatu.
- . mtaimba wimbo wa Taifa.
Andika vizuri maamkizi haya
- mbohuja?
- oomkashi?
- amkajeume?
- ribaha?
- jasimbo."
Chora vifaa hivi vya shambani
- jembe
- kifyekeo
- shoka
Andika kwa herufi kubwa au ndogo
- PIKIPIKI
- februari
- zawadi
- MKULIMA
SEHEMU YA 5: KUANDIKA
Andika sentensi tano kuhusu Mwalimu wangu
MARKING SCHEME
- Mwalimu
- Msamaria
- Shuleni
- Suleimani
- Wao
- Yeye
- Nyinyi
- Hujambo
- Shikamoo
- Umeamkaje?
- Habari
- Sijambo
Chora vifaa hivi vya shambani
- jembe
- kifyekeo
- shoka
Andika kwa herufi kubwa au ndogo
- pikipiki
- FEBRUARI
- ZAWADI
- mkulima
Andika sentensi tano kuhusu mwalimu wamngu
Download School Based Assessment Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 3 End Term 1 Exams 2023 SET 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students