Imla.
Andika maneno haya vizuri.
- Niama ____________________________
- Faiuta ____________________________
- Vuliutu _____________________________
- Fuiuti ______________________________
- Ndozaule ____________________________
Jaza nafasi ukitumia maneno uliyopewa.
Mzee Katama ni ____________1________. Yeye ana ______2_________ wawili na bibi mmoja. Mzee Katama analo ______3_________ kubwa sana. Yeye huenda shambani_______4_______. Mzee katama hutumia __________5_________ kulima, na anatumia _______6__________ kupalilia chakula. Mzee katama hutumia _______7__________ kukata ua linalo mea zaidi hasa wakati wa mvua. Shambani humo mna miti ambayo hukatwa kama kuni kwa kutumia _______8__________. Nyumbani
kwake amepanda nyasi ambayo yeye hufyeka kwa kutumia __________9_________. Shambani mwa mzee Katama huwa na _______10___________ si haba kwani yeye hakubali magugu na makwekwe yatawale.
-
- Mwalimu
- Mkulima
- Mzazi
- Mlinzi
-
- Viatu
- Miti
- Watoto
- Ndege
-
- Shamba
- Darasa
- Nyumba
- Nguo
-
- Kuoga
- Kulima
- Kutembea
- Kulia
-
- Mkono
- Kalamu
- Jembe
- Kijiko
-
- Uma
- Jiko
- Panga
- Kiatu
-
- Kisu
- Panga
- Shoka
- Jembe
-
- Panga
- Shoka
- Kisu
- Wembe
-
- Kisu
- Wembe
- Kifyekeo
- Shoka
-
- Mazao
- Maua
- Chakula
- Mchanga.
Tumia a au wa
Tumia yeye au wao.
- _____________ ataenda shule kesho.
- _____________ watarudi nyumbani.
Andika kwa wingi.
- Msichana atafua nguo. __________________________________________
- Mpishi atapika chakula. __________________________________________
Unda maneno ukitumia silabi.
- mwa. ___________________________________
- nde ____________________________________
Andika silabi kutokana na maneno haya.
- mwanasiasa _______________________________
- ndimu ___________________________________
Taja rangi mbili za bendera ya Kenya.
- _______________________________
- ______________________________
Paka bendera ya Kenya rangi zinazofaa.23-26
Jaza pengo kwa jibu sahihi.
- Tabia _________________ ni mzuri. (chake, zake)
- Simu _______________ ni mpya. (yake, wake)
Jaza nafasi katika wimbo wa taifa.
Ee Mungu 29. ____________ yetu
Ilete baraka 30.___________
Haki iwe 31. ____________ na mlinzi
Natukae na 32. _________________
33. _____________ na uhuru
Raha tupate na 34.______________.
MARKING SCHEME
- Inama
- Ifuata
- Utulivu
- Utiifu
- Uzalendo
- B
- C
- A
- B
- C
- A
- B
- B
- C
- A
- a, wa
- a, wa
- yeye
- wao
- Wasichana watafua nguo.
- Wapishi watapika vyakula.
- mwalimu, mwanafunzi,
- ndege, nderemo
- mwa-na-si-a-sa
- ndi-mu
- Nyeupe, nyeusi
- Kijani kibichi, nyekundu
- zake
- yake
- nguvu
- kwetu
- ngao
- udugu
- amani
- ustawi
Download Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 3 End Term 2 Exams 2021 SET 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students